Je, tutaendelea kuvumilia kutekwa na kupotezwa kwa Viongozi wa CHADEMA hadi lini?

Je, tutaendelea kuvumilia kutekwa na kupotezwa kwa Viongozi wa CHADEMA hadi lini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini

Screenshot_2024-08-20-16-25-43-1.png

Hawa wengine tuliambiwa walikamatwa wakijiandaa kwenda Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Vijana ya Kidunia, Lakini Polisi wanakana kuwashikilia, je Wako wapi?

Screenshot_2024-08-20-01-36-14-1.png

Haya mambo mnadhani wananchi watayavumilia hadi mwaka gani?

PIA SOMA
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Hadi arudipo Masihi
Wewe ni mpuuzi sanaa ila majibu yenu haya ya kifedhuli yana mwisho
Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini

View attachment 3074958

Hawa wengine tuliambiwa walikamatwa wakijiandaa kwenda Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Vijana ya Kidunia, Lakini Polisi wanakana kuwashikilia, je Wako wapi?

View attachment 3074963

Haya mambo mnadhsni wananchi watayavumilia hadi mwaka gani?
Huko tuendako hali itakuwa mbaya zaidi .. Ukombozi unakuja lakini kwa maumivu na mateso makubwa sana
 
Mtu akienda kwa mchepuko, nguo zikalowekwa, tayari mnazusha katekwa. Subirini nguo zikauke, atarudi
 
Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini...
Hadi hapo Mateka-Watarajiwa watakapokataa kutekwa na Kisha wao kugeuka na kuwa Watekaji pia.

"If you undermine our security we undermine yours too, and if you kill our people we kill yours too. So, the choice is yours."

Osama bin Laden, told CIA and US Government in the counter-response to "September Eleven Attacks."
 
Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Din...
Hao usalama wa ccm wanadhani maisha mazuri ni kuheshimu mamlaka tu hata kama kiuhalisia mamlaka inakuwa haipo sawa. All in all sisi sote njia Moja na kila mtu anamwisho wake hapa DUNIANI kuna siku shilingi itageuka
 
Amen
 
Watekaji na wasiojulikana sasa wanawekwa bayana,

Sasa utekaji hauvumiliki tena.
 
Mimi huwa najiuliza, 'Ni lini CHADEMA itaacha uharakati na kuwa chama cha siasa?'

Manake matendo na matamshi ya CHADEMA yanaviashiria vya uharakati tu.
 
Mimi huwa najiuliza, 'Ni lini CHADEMA itaacha uharakati na kuwa chama cha siasa?'

Manake matendo na matamshi ya CHADEMA yanaviashiria vya uharakati tu.
Siku yako ya kutekwa ikifika ndio utaelewa
 
Back
Top Bottom