dioniz kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Dioniz Kipanya alipotea aliporekodi video ya msafara mrefu ziara ya Rukwa. Leo mnamsikiliza baada ya kumchinja?

    Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena. Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa na Katavi. Leo ndio mnasema mnapunguza msafara wa magari ya Rais ??? 1 WAFALME 21 :19 “Nawe utamwambia, Bwana...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Padri Vincent Kasana: Hadi Leo Dioniz Kipanya Hayupo!? Je, Tumuombe Kama Mfu Au Mzima

    https://www.instagram.com/reel/DVeoMXsjKC4/?igsh=a3BlaXY5bmptdWZu
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Mnakuja kutuomba Kura, Dioniz Kipanya ametekwa, wewe Waziri Mkuu mstaafu ni mkazi wa Rukwa hujawahi kusema chochote

    Mwananchi mmoja amembana Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, akidai kwamba wameenda kuomba Kura, huku Mtanzania mwenzeo Dioniz Kipanya ametekwa, na yeye kama Waziri Mkuu mstaafu ambaye ni mkazi wa Rukwa hujawahi kusema chochote.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Miaka 4 ya Rais Samia tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa wamempeleka wapi?

    Akiwa Rukwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu baada ya kuulizwa Miaka 4 ya Rais Samia ya uongozi wake amesema "tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa nyara wamempeleka wapi? Dioniz Kipanya ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA, Sumbawanga...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, tutaendelea kuvumilia kutekwa na kupotezwa kwa Viongozi wa CHADEMA hadi lini?

    Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini Hawa wengine tuliambiwa walikamatwa wakijiandaa kwenda Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Vijana ya Kidunia, Lakini Polisi...
Back
Top Bottom