Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Akiwa Rukwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu baada ya kuulizwa Miaka 4 ya Rais Samia ya uongozi wake amesema "tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa nyara wamempeleka wapi?
Dioniz Kipanya ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA, Sumbawanga Mjini alidaiwa kutekwa na watu waliojitambulisha kama maafisa wa Polisi kutoka Ofisi ya RPC 26 Julai 2024. Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, SACP Shadrack Masija alisema jeshi la polisi linachunguza tukio hilo.