Dioniz Kipanya alipotea aliporekodi video ya msafara mrefu ziara ya Rukwa. Leo mnamsikiliza baada ya kumchinja?

Dioniz Kipanya alipotea aliporekodi video ya msafara mrefu ziara ya Rukwa. Leo mnamsikiliza baada ya kumchinja?

LUCHESI

Member
Joined
Nov 18, 2025
Posts
72
Reaction score
197
Screenshot_20260410_011023_Opera.jpg

Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena.

Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa na Katavi.

Leo ndio mnasema mnapunguza msafara wa magari ya Rais ???

1 WAFALME 21 :19

“Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki?

Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Mahali pale walipolamba mbwa damu ya Dioniz Kipanya, ndipo mbwa watakapoilamba damu yako, naam, yako mwenyewe.”
 

Eti jamani ???

Mwenezi wa CHADEMA mkoani pembeni ya nchi huko na simu yake inayopiga picha, anakutisha kweli jamani jamani jamani ???

Mnamiliki mabilioni ya hela, ma silaha, mnamiliki ofisi ya kutangaza matokeo ya uchaguzi nafasi yeyote muda wowote popote nchini, sasa hawa vijana wana tishio gani la kuwatoa uhai jamani nyinyi watu, mbona ma cowards ki hivyo ????

Binadamu gani hawa wenzetu hawa ?
 
Eti jamani ???

Mwenezi wa CHADEMA shamba huko pembeni ya nchi na simu yake moja inayopiga picha anakutisha kweli jamani jamani jamani ???

Mnamiliki mabilioni ya hela, ma silaha, mnamiliki ofisi ya kutangaza matokeo ya uchaguzi nafasi yeyote muda wowote nchini, sasa hawa vijana wana tishio gani la kuwatoa uhai jamani jamani jamaniiiii ????

Binadamu gani hawa wenzetu hawa ?
Inamaana waliopembezoni ya nchi ni wa maporini, sauti zao hazina matokeo wala maana yoyote katika jema au zuri?
 
Hayupo kwenye media market kubwa. Kwa hiyo hana visibility kubwa. Wengi hawamjui.

Unamwogopa wa nini ?

Impact yake kwa serikali inapungua unless amekuwepo muda mrefu.
Yes ikitokea watu wa hiyo mikoa wakidai haki zao za msingi wapuuziwe kwasababu ya coverage ya media market kuwa ndogo kwao?
 
View attachment 3570345
Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena.

Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa.

Leo ndio mnasema mnapunguza msafara wa magari ???

1 WAFALME 21 :19

“Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki?

Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Mahali pale walipolamba mbwa damu ya Dioniz Kipanya, ndipo mbwa watakapoilamba damu yako, naam, yako mwenyewe.”
20260403_083824.jpg
 
Mshikaji wangu wa enzi za shule Dioniz Kipanya, roho waga inaniuma sana juu ya Dioniz. Wamemkatili sana Dioniz.

Nimesoma shule tofauti na yeye alikuwa ni mshikaji wangu, tukikutana kwenye tuition na michezo, miaka mingi iliyopita 2003 kushuka chini.
 
Back
Top Bottom