King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Tutarekodi tena msafara wa "KIBASI CHA MAMA" tuone kama amepunguza magari kutoka 154 hadi manne.
Tutarekodi tena msafara wa "KIBASI CHA MAMA" tuone kama amepunguza magari kutoka 154 hadi manne.
unaambiwa hata sisimizi akiitishia serikali huangamizwa! Serikali hainaga mdogo wala mkubwa, ikihisi tu inatishiwa huondoa tishio hiloEti jamani ???
Mwenezi wa CHADEMA mkoani pembeni ya nchi huko na simu yake inayopiga picha, anakutisha kweli jamani jamani jamani ???
Mnamiliki mabilioni ya hela, ma silaha, mnamiliki ofisi ya kutangaza matokeo ya uchaguzi nafasi yeyote muda wowote popote nchini, sasa hawa vijana wana tishio gani la kuwatoa uhai jamani nyinyi watu, mbona ma cowards ki hivyo ????
Binadamu gani hawa wenzetu hawa ?
Oohunaambiwa hata sisimizi akiitishia serikali huangamizwa! Serikali hainaga mdogo wala mkubwa, ikihisi tu inatishiwa huondoa tishio hilo
Kuna hela nyingi na maslahi kibaoAfrika ukiwa serikalini ni kama vile unapata uwendawazimu
Unawaza pesa tuu, uhai wa mwenzako unaweka kwenye dustbin, ah kudadeki zaoKuna hela nyingi na maslahi kibao
Sawa. Nimekuelewa.unaambiwa hata sisimizi akiitishia serikali huangamizwa! Serikali hainaga mdogo wala mkubwa, ikihisi tu inatishiwa huondoa tishio hilo
Halafu leo kuna mtu anasifia kabisa eti msafara umepungua qmmk sijui nani ametulogaView attachment 3570345
Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena.
Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa na Katavi.
Leo ndio mnasema mnapunguza msafara wa magari ya Rais ???
1 WAFALME 21 :19
“Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki?
Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Mahali pale walipolamba mbwa damu ya Dioniz Kipanya, ndipo mbwa watakapoilamba damu yako, naam, yako mwenyewe.”
Waliomuua nao watauawaView attachment 3570345

Kupost msafara halali wa Rais kuna kosa gani?Ogopa sana serikali, ni dola na ina mkono mrefu
Issue sio kuwa threat. Hata akiwa threat hapaswi kuuwawa kama kweli walimuua.Maana yake hakua threat so kulikua hakuna haja ya kumuua. Maana influence yake ilikua ni eneo dogo tu la Rukwa/Katavi.
Fuatilia SOMO LA 2 MAZISHI YA CARDINAL PENGOView attachment 3570345
Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena.
Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa na Katavi.
Leo ndio mnasema mnapunguza msafara wa magari ya Rais ???
1 WAFALME 21 :19
“Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki?
Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Mahali pale walipolamba mbwa damu ya Dioniz Kipanya, ndipo mbwa watakapoilamba damu yako, naam, yako mwenyewe.”
Aise pole sanaMshikaji wangu wa enzi za shule Dioniz Kipanya, roho waga inaniuma sana juu ya Dioniz. Wamemkatili sana Dioniz.
Nimesoma shule tofauti na yeye alikuwa ni mshikaji wangu, tukikutana kwenye tuition na michezo, miaka mingi iliyopita 2003 kushuka chini.
Aise pole sana
Mambo madogo lakini mtu unapotezwa
Ova
Maana yake hakua threat so kulikua hakuna haja ya kumuua. Maana influence yake ilikua ni eneo dogo tu la Rukwa/Katavi.
Duh hii story imeniumiza sana, hili taifa linaelekea wapi?Hawana threat yeyote.
Yupo mmoja aliuliwa Bukombe, Geita, Agosti 2025.
Alirusha mwimbo unasema Wajinga Ndio Watatiki.
Akapigiwa simu aende mjini kuchukua helaake. Akarudi kwanza kijiweni, akawaambia wenzake, halafu akaomba buku la nauli aende huko mjini. Aliyemwomba nae akawa hana buku. Na ndio aliyeelezea hili tukio.
Wakati marehemu bado kaganda pale kijiweni, kijana mmoja aliyejitambulisha kama anahitaji nyimbo za flashi akawa anaongea na simu. Ghafla ikaja Land Cruiser, ikamchukua yule kijana wa flashi ( alikuwa nyoka) na huyu jamaa, kinguvu. Hajaonekana mpaka leo.
Wamechinja mtu ambae hana hata buku mfukoni la kununua bisu lile la Wamachinga wa Kimasai la kupindulia nchi. Na hata akiambiwa nchi tumeshachukua, mchango wako mkubwa, njoo mjini uapishwe uwaziri - hana nauli!
Anaitwa Mchungaji Elisha Juma.
Roho inaniuma vibaya mno yani !