porojo zingine nonsense kweli dahView attachment 3570345
Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena.
Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa na Katavi.
Leo ndio mnasema mnapunguza msafara wa magari ya Rais ???
1 WAFALME 21 :19
“Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Je! Umeua, ukatamalaki?
Nawe utamwambia, Bwana asema hivi, Mahali pale walipolamba mbwa damu ya Dioniz Kipanya, ndipo mbwa watakapoilamba damu yako, naam, yako mwenyewe.”
Hawana threat yeyote.
Yupo mmoja aliuliwa Bukombe, Geita, Agosti 2025.
Alirusha mwimbo unasema Wajinga Ndio Watatiki.
Akapigiwa simu aende mjini kuchukua helaake. Akarudi kwanza kijiweni, akawaambia wenzake, halafu akaomba buku la nauli aende huko mjini. Aliyemwomba nae akawa hana buku. Na ndio aliyeelezea hili tukio.
Wakati bado kaganda pale kijiweni, kijana mmoja aliyejitambulisha kama anahitaji nyimbo za flashi akawa anaongea na simu. Ghafla ikaja Land Cruiser, ikamchukua yule kijana wa flashi ( alikuwa kumbe wa kwao) na huyu mhanga, kinguvu. Hajaonekana mpaka leo.
Wamechinja mtu ambae hana hata buku mfukoni la kusema anunue lile bisu la Wamachinga wa Kimasai akapindue nchi. Na hata akiambiwa nchi tumeshachukua, mchango wako mkubwa, njoo mjini uapishwe uwaziri - hana nauli!
Anaitwa Mchungaji Elisha Juma.
Roho inaniuma vibaya mno
Utawala wa shetani kuua ni ibadaWaliomuua nao watauawa
Soka aliitwa peke yake wakaenda watatu wote hawakurudi , wahuni hawajali hata mkienda. Mia hamrudi.mie kiongozi mkoa naitwa sehemu naenda pekeangu
pole yaoSoka aliitwa peke yake wakaenda watatu wote hawakurudi , wahuni hawajali hata mkienda. Mia hamrudi.