Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe ni mpuuzi sanaa ila majibu yenu haya ya kifedhuli yana mwishoHadi arudipo Masihi
Wewe ni mpuuzi sanaa ila majibu yenu haya ya kifedhuli yana mwishoHadi arudipo Masihi
Wewe ni mpuuzi sanaa ila majibu yenu haya ya kifedhuli yana mwishoHadi arudipo Masihi
Huko tuendako hali itakuwa mbaya zaidi .. Ukombozi unakuja lakini kwa maumivu na mateso makubwa sanaHili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini
View attachment 3074958
Hawa wengine tuliambiwa walikamatwa wakijiandaa kwenda Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Vijana ya Kidunia, Lakini Polisi wanakana kuwashikilia, je Wako wapi?
View attachment 3074963
Haya mambo mnadhsni wananchi watayavumilia hadi mwaka gani?
Hadi hapo Mateka-Watarajiwa watakapokataa kutekwa na Kisha wao kugeuka na kuwa Watekaji pia.Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini...
Unadhani hujulikani/hawajulikani, likitokea la kutokea Mungu anakuonaHadi arudipo Masihi
Kila siku siyo JumapiliHadi arudipo Masihi
Hao usalama wa ccm wanadhani maisha mazuri ni kuheshimu mamlaka tu hata kama kiuhalisia mamlaka inakuwa haipo sawa. All in all sisi sote njia Moja na kila mtu anamwisho wake hapa DUNIANI kuna siku shilingi itageukaHili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Din...
AmenHao usalama wa ccm wanadhani maisha mazuri ni kuheshimu mamlaka tu hata kama kiuhalisia mamlaka inakuwa haipo sawa. All in all sisi sote njia Moja na kila mtu anamwisho wake hapa DUNIANI kuna siku shilingi itageuka
Kilishapandwa kitambo 🐼Atavuna anachopanda
Kila ubaya utalipwaWatekaji na wasiojulikana sasa wanawekwa bayana,
Sasa utekaji hauvumiliki tena.
Alipiga fix tu, ccm iwe na 4R!Mama karudi kule kule, vile viji R vinne sijui kaamua kuvifungia vitumbua?!
Eenh...Bhandugu?!
Siku yako ya kutekwa ikifika ndio utaelewaMimi huwa najiuliza, 'Ni lini CHADEMA itaacha uharakati na kuwa chama cha siasa?'
Manake matendo na matamshi ya CHADEMA yanaviashiria vya uharakati tu.