Bora hizo gharama ungechangia tone tone kwa Chadema tukomboe nchi.
Gharama kubwa sana nimetumia.
Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaagirishwa kihumi.
Nani atafidia gharama zangu?