L Lukenya JF-Expert Member Joined Mar 17, 2024 Posts 640 Reaction score 811 Mar 8, 2025 #21 Bora hizo gharama ungechangia tone tone kwa Chadema tukomboe nchi. Idugunde said: Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaagirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu? Click to expand...
Bora hizo gharama ungechangia tone tone kwa Chadema tukomboe nchi. Idugunde said: Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaagirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu? Click to expand...
P Prosefa Member Joined Feb 27, 2025 Posts 34 Reaction score 38 Mar 8, 2025 #22 Idugunde said: Acha upuuzi. Click to expand... Upi Sasa,umetoka huko porini Kuja kulialia mjini, nenda kwa gsm maana ndo aliharibu Kila kitu
Idugunde said: Acha upuuzi. Click to expand... Upi Sasa,umetoka huko porini Kuja kulialia mjini, nenda kwa gsm maana ndo aliharibu Kila kitu
blackkodi Member Joined Aug 20, 2024 Posts 73 Reaction score 130 Mar 8, 2025 #23 Soma hiyo mzee wa igunga Attachments d48bf8b5-5afa-48f2-a232-2c75b9919f71.jpeg 113.5 KB · Views: 1
A August JF-Expert Member Joined Jun 18, 2007 Posts 9,327 Reaction score 5,206 Mar 8, 2025 #24 Idugunde said: Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaagirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu? Click to expand... Tff na bondi ya ligi
Idugunde said: Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaagirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu? Click to expand... Tff na bondi ya ligi
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 8,900 Reaction score 28,398 Mar 8, 2025 #25 Kuna mwenzako katoka Nairobi, kufika kwa Mkapa anakutana na mambo meusi. Kaloa hajui atambae au apae.
Kuna mwenzako katoka Nairobi, kufika kwa Mkapa anakutana na mambo meusi. Kaloa hajui atambae au apae.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Mar 8, 2025 #26 Mcheza Viduku said: Mkuu unamiliki gari ya aina gani? Click to expand... Ambayo imetembea zaidi km 1000 Igunga Dar. Aseme tu alikuwa na misele yake hii mechi ilikuwa by the way tu.
Mcheza Viduku said: Mkuu unamiliki gari ya aina gani? Click to expand... Ambayo imetembea zaidi km 1000 Igunga Dar. Aseme tu alikuwa na misele yake hii mechi ilikuwa by the way tu.
Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Mar 9, 2025 Thread starter #27 herio said: Yule yule aliekushaurii uje mjini Click to expand... Acha upunguani