NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Kumbe simba ni kubwa kuliko al ahly mpaka iweze kurubuni marefa wa CAF ,basi utopolo imekwishaUkishafanya usajili mbovu unaungua gharama kubwa katika mashindano utakayo shiriki.
Gharama za kuwarubuni watu wa VAR na marefa, Gharama za kuhitaji marefa ku dhalirika ili timu ishinde.
Ukija kupiga hesabu ni gharama kubwa kuliko kufanya usajili wa uhakika maana mwisho wa msimu hakuna kikombe utakacho pata.
Simba kwa apa ndani ata ahonge vipi awezi kuchukua ubingwa, anahangaika tu.Kumbe simba ni kubwa kuliko al ahly mpaka iweze kurubuni marefa wa CAF ,basi utopolo imekwisha
Sasa mbona vyura wanajamba jamba hawatuliiSimba kwa apa ndani ata ahonge vipi awezi kuchukua ubingwa, anahangaika tu.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Et wakuu shida itakuwa nini?
Gsm amenunua Timu. MILIONI 100Ukishafanya usajili mbovu una tumia gharama kubwa katika mashindano utakayo shiriki.
Gharama za kuwarubuni watu wa VAR na marefa, Gharama za kuhitaji marefa ku dhalirika ili timu ishinde.
Ukija kupiga hesabu ni gharama kubwa kuliko kufanya usajili wa uhakika maana mwisho wa msimu hakuna kikombe utakacho pata.
Hama nchiMpira wa kiswahili.
Ligi ya kishirikina.