Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

Tarijieni point 3 na magoli ya kutosha..na penalty msisahau kwa sbb nyie hamjui kucheza ngumi jiwe...so penalty zina wenyewe na wenyewe ndo sisi...na kupitia penalty tupo fainali haooooo
 
Ujinga kweli ni mzigo,
Dawa ya kuzuia penati ni kutokumchezea faulo mchezaji wa timu nyingine ndani ya penati boxi,basi.
Zaidi ya hapo refa hawezi kuendeleza ujinga wenu kwa kukiuka Sheria za soka.
Umesikia wewe?
 
Tutegemee Yanga kulalamika wakati wanaofungwa ni JKT
 
Siji kurudia kuangalia mechi zinazo ihusisha hiyo timu ya Karia na Bodi yake ya Ligi! Kwanza kichekesho cha kwanza; hiyo timu imepangiwa waamuzi wake special wa kuchezesha! (Tatu Malogo, Kepha Kayombo, na Japhet Smart).

Na wakichezesha hao waamuzi basi matokeo lazima yawanufaishe wao, na siyo timu inazo shindana nazo. Penati za mchongo, kadi nyekundu za mchongo, faulo za mchongo karibia na eneo la 18 la mpinzani ni jambo la kawaida kabisa!
 
Hizi team za jeshi nashangaa ziko kinyonge sana utafikiri team za machoko!Wanaonewa hata kumchenyeta refa tu wao kimnya!!!Leo msituletee ujinga refa akizingua mpigisheni kwata!!!
 

Hurudii kuangalia lakin chaajabu utakuta niwakwanza kulalamika ile haikuwa faulo mara refa kawabeba haikuwa fair
 
Refa wa leo ataharibu kwa kuhofia presha ya nje hivyo maamuzi yatawabeba zaidi JKT leo.
 
 
Hizo penati Ahua na Ateba watapewa ili wawakaribia Dube na Mzize kwenye chat ya ufungaji🤣🙌🙌🙌
 
Ujinga kweli ni mzigo,
Dawa ya kuzuia penati ni kutokumchezea faulo mchezaji wa timu nyingine ndani ya penati boxi,basi.
Zaidi ya hapo refa hawezi kuendeleza ujinga wenu kwa kukiuka Sheria za soka.
Umesikia wewe?
HOVYO KABISA WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…