MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Watu wanaojitambua wanapata habari za kweli huku mitandaoni, huko kwenye TV Kuna habari zilizochujwa na kubeba propaganda zaidi. Fuatilia vizuri utakuta watu wengi wanaotazama TV ni aidha burudani kama mpira, muziki, na episode. Ni nadra kukuta watu wengi wanatazama hizo porojo za kiccm.Mida hii kama hutaki kuangalia Ikulu Mawasiliano lakini unataka kuangalia TV za Tanzania basi hamna jinsi inabidi ukulale tu.
Ikulu mawasiliano TV zote za ndani kurusha mafanikio ya mama. Yaani mama akipigwa kama amepiga na akipiga kama amepiga.
Hii ni kazi nzuri ya gwiji Zuhura Yunus. Amewaacha Chadema waandamane yeye ameamua kutumia remote control kufikisha elimu kwa umma.
Mbowe ajifunze kitu hapa.
Karne ya 21 hii bado unaamini kwenye propaganda kupitia TV!Mida hii kama hutaki kuangalia Ikulu Mawasiliano lakini unataka kuangalia TV za Tanzania basi hamna jinsi inabidi ukulale tu.
Ikulu mawasiliano TV zote za ndani kurusha mafanikio ya mama. Yaani mama akipigwa kama amepiga na akipiga kama amepiga.
Hii ni kazi nzuri ya gwiji Zuhura Yunus. Amewaacha Chadema waandamane yeye ameamua kutumia remote control kufikisha elimu kwa umma.
Mbowe ajifunze kitu hapa.
Unajua bei ya Bundle na ni wangapi wana Smart Phone na Internet Access ? Haipaswi TV inayolipwa Ruzuku kwa kodi zetu kuleta hizi biasness ila ndio hivyo hii nchi inajiendea tu kwa mlipa kodi kutokupata value for money...Watu wanaojitambua wanapata habari za kweli huku mitandaoni, huko kwenye TV Kuna habari zilizochujwa na kubeba propaganda zaidi. Fuatilia vizuri utakuta watu wengi wanaotazama TV ni aidha burudani kama mpira, muziki, na episode. Ni nadra kukuta watu wengi wanatazama hizo porojo za kiccm.
Mvwire uo aelewe🤣Nitake radhi, mm n mwaminifu mkubwa