Mr Mlokozi
Member
- Jun 1, 2024
- 21
- 16
Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha (Hawa hawaamini katika tuisheni za mtaani).
Pia Kuna walimu ambao wanawapa wanafunzi wao maelekezo ya kwenda kusoma maada fula wakiwa likizo tena wanakazia kabisa kwamba tunaweza tusipate mda wa kuzisoma hizo maada hapa (Hawa wanaamini katika tuisheni za mtaani).
Kwa mtazamo wako Unahisi tuisheni hizi zinawasaidia wanafunzi au laah?