Je, Uamuzi wa majaji unashawishiwa na vilio vya ndugu au marafiki?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.

Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?

Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
 
You cannot mobilize sympathizers mahakamani Kama wewe ni jangili au muuaji ; you can only do so if people perceive that your rights are being trampled on! If you are being persecuted by the powers that be then you will invoke sympathy.
 
So should it be order of the day....If my fans percieve me as great then I will mobilize them as cheer ladies to the court...does this sounds like justice ??
 
It is a form of crying for justice for someone who is being persecuted by a brutal regime!
 
So should it be customized so that in every court the accused need to find a group of his followers or families to attend and cry for Justice against the percieved brutal authority?
 
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.

Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?

Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
Kilichokuuma ni kuona Lissu ana sympathizers? Kwavile wewe una roho mbaya na huishi na watu vizuri, unataka na wengine wawe kama wewe?
 
Utofauti wako wewe na shetani/Lucifer ni location tu ,una Roho mbaya sana
Kwamba vilio ndo vimefanya kesi kuailishwa sio
 
Kinachoniuma nina ndugu yangu alihukumiwa kwa kukosa hao mashabiki aliowaamini
 
Utofauti wako wewe na shetani/Lucifer ni location tu ,una Roho mbaya sana
Kwamba vilio ndo vimefanya kesi kuailishwa sio
Siku ya mwisho tutahukumiwa na Mungu...Je tutakuwa na wafuasi wetu wa kuhonga uko mbinguni?
JUSTICE MEANS JUSTICE!!NO ADDITION NO SUBSTRACTION
 
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.

Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?

Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
Kwani huwa kesi mchongo zinashawishiwa na nini?
 
Kwa hivyo wewe sio shabiki wa waunda kesi mchongo ila badala take ni maandazi au?
Yaani mnataka jaji afanye maamuzi kwa kuangalia mama aliyefika mahakamani na kuzimia....Aliyebuni mpango huo ni mvivu wa fikra
 
Tofautisha hisia na maigizo ya wakatoliki wa kuchovya wa yombo ukiwa mmoja wa madirector wasaidizi mwenye filamu hiyo!
 
kwa hiyo baada ya comedy ya wakatoliki na nyie mkaandaa comedy ya vilio vya mahakamani!
 
Back
Top Bottom