Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.
Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?
Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
So should it be order of the day....If my fans percieve me as great then I will mobilize them as cheer ladies to the court...does this sounds like justice ??You cannot mobilize sympathizers mahakamani Kama wewe ni jangili au muuaji ; you can only do so if people perceive that your rights are being trampled on! If you are being persecuted by the powers that be then you will invoke sympathy.
So should it be order of the day....If my fans percieve me as great then I will mobilize them as cheer ladies to the court...does this sounds like justice ??
So should it be customized so that in every court the accused need to find a group of his followers or families to attend and cry for Justice against the percieved brutal authority?It is a form of crying for justice for someone who is being persecuted by a brutal regime!
Kilichokuuma ni kuona Lissu ana sympathizers? Kwavile wewe una roho mbaya na huishi na watu vizuri, unataka na wengine wawe kama wewe?Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.
Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?
Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
Siku ya mwisho tutahukumiwa na Mungu...Je tutakuwa na wafuasi wetu wa kuhonga uko mbinguni?Utofauti wako wewe na shetani/Lucifer ni location tu ,una Roho mbaya sana
Kwamba vilio ndo vimefanya kesi kuailishwa sio
Kwani huwa kesi mchongo zinashawishiwa na nini?Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.
Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?
Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
Kwa hivyo wewe sio shabiki wa waunda kesi mchongo ila badala take ni maandazi au?Haijalishi...hoja ni kwamba justice inafikiwa kwa mihemko ya mashabiki??
Tofautisha hisia na maigizo ya wakatoliki wa kuchovya wa yombo ukiwa mmoja wa madirector wasaidizi mwenye filamu hiyo!Yaani mnataka jaji afanye maamuzi kwa kuangalia mama aliyefika mahakamani na kuzimia....Aliyebuni mpango huo ni mvivu wa fikra
Komedi ni za content creator mabillionea kama wewe na timu yenu!kwa hiyo baada ya comedy ya wakatoliki na nyie mkaandaa comedy ya vilio vya mahakamani!