Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Ila uraiani ni God fearing mzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila uraiani ni God fearing mzuri sana
Kudadeq, umesema confidence mpaka kwenye papa?Mrembo kweri kweri ana confidence mpk kwenye pic [emoji12]
Ndio tunataka tukafanye uhakiki hilo apapa la Moto kweli la Moto au ni promo tu?
Askari wa nyikani hua atishwi na umande, unamshika Simba sharubu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wee kwahiyo umejipanga kabisa
Mbona hukuniita Sasa?
Huyu ni Wewe kabisa, ongezea na hii.... una tabia za umbea na kujibu maswali ambayo hujaulizwaMsichana msomi, smart na unayejipenda Ila unapenda Sana waume za wenzio na pombe Kali.
Wewe tabia yako nishaijua,Mtu aje aseme tabia yangu basi
NB: wale ambao tushajuana hii haiwahusu mkae kimya
Nimeitafuta Hadi nimeipata🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Km kawa ugomvi wa majirani lazima tushtuke wasije kuuana bure
startup founder.Mtu aje aseme tabia yangu basi
NB: wale ambao tushajuana hii haiwahusu mkae kimya
Unaonekana tu [emoji23]
unapenda sana ugomvi itabidi nihame hapa
Kudadeq, umesema confidence mpaka kwenye papa?
I'll be damned ukipatiangoja nipitie nyuzi/replay zako humu kisha nitakuambia tabia yako
Pisi Moja Kali,hujakulia uswahilini,una una shule nzuri,una exposure halafu upo humble....Mtu aje aseme tabia yangu basi
NB: wale ambao tushajuana hii haiwahusu mkae kimya
Nimeitafuta Hadi nimeipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jishikilie we mtoto!mi naanzaga na goma ninapolikuta kama page ya 20 naendelea Hadi nihisi jambo ndio naweza fanya reversePandisha uko juu
Tatizo ukiona comments za bro unaacha kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua utaenda kuchekea chooni ☺☺☺ dhambiiiNimeitafuta Hadi nimeipata🤣🤣🤣
Ntahama tu maana kuna siku utaniparamia na mimi😂Uhame uende wapi? Emu baki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jishikilie we mtoto!mi naanzaga na goma ninapolikuta kama page ya 20 naendelea Hadi nihisi jambo ndio naweza fanya reverse
Unacheka kama mazuri, confidence bwana😁😁😁😁😁🤦🤦[emoji1787][emoji1787][emoji1787]