Nisamehe tu shemTeeeeeeeeeeeeena👌
Shem nakudai vocha ile siku nimekuita mpk koo lilikauka hivo 🤣🤣🤣
Vocha umepataa pa kuweka napajuaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisamehe tu shemTeeeeeeeeeeeeena👌
Shem nakudai vocha ile siku nimekuita mpk koo lilikauka hivo 🤣🤣🤣
😍😍😍😍Nisamehe tu shem
Vocha umepataa pa kuweka napajuaaa
Matoke noumaaa nanusuuuu haha!Na matoke madam
Asante sana boss lady
Nimekumiss hadi naumwaaa😘
Huyo aliyekuficha hafanyi poa
Matoke = maworaaaaaa........Matoke noumaaa nanusuuuu haha!
Nipoo bossi kubwaaa vimajukumu vya hapa na palee tu ndio vinanikeep bize kidogo!
Yanalainishajeeeee maeneooo🤸🤸🤣🤣🤭!Matoke = maworaaaaaa........
Hebu tupee ubuyuu bhana, [emoji23][emoji23][emoji23]Ule ubuyu naogopa kuwapa unaweza kuvunja ndoa za watu humu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezaa sautii baba tamuuu.Wanaosubir tuachane !
Mtasubir sana mtasubiri
(Ooh mtangonja )
Mtasubir sana mtasubiri
(wanaosubir tuachane )
Mnasubir sana mtasubiri
(Chukueni viti mkae)
Mtasubir sana mtasubiri
[emoji445][emoji444][emoji443]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu naomba nikupelekee studio.Oyooooooooo!!
Mmmh mmmh mmmh
Eeh nini sasa
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh
Kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Mnasubiri tuachane
Ooh mtangoja
Mtasubiri sana mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Vuten kiti mkae
Mtasubiri sana mtasubiri
Ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Mnasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtakesha
Mtasubir sana mtasubiri
Mtandike jamvi mukae
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtangoja sana
Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kesho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini
Shuuuuu!!!Wambea wanachungulia afu wanarudi ndani kwa aibu, vijuso vimewashuka [emoji108][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah umeamua.Ewaaaaaaa......
Tunamalizia na ile ya Mboso
Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata
Kazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikani
Mimi, nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
(Msinitafute, msihangaike)
Nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Nipo salama mimi, nipo salama mimi
Msinitafute niko salama mimi
[emoji443][emoji444][emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda hela weyeee, khaaahTeeeeeeeeeeeeena[emoji108]
Shem nakudai vocha ile siku nimekuita mpk koo lilikauka hivo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]