Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

on line off sijui mkuu.namwnzako jiwe angavu na mokkiti. au ni id zako mkuu?
Apana hao nkiwakuta humu mi ID yangu Moja. 🤣🤣🤣Upo off point sana Sema nimeeleza humu kwann nimekua hvo, nauchukia sana uislamu kwa sababu ya waislamu wachache
 
Sio wote huandika vile walivyo sababu ya hizi IDs ambazo si halisi...

Lakini hizi ID's huwa hazibadilishi uhalisia wa mioyo yetu...
Wewe maandishi yako hayaendani na uhalisia wako dakitare?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niitiee shem wakoo, nataka nirudishee majeshi kwa nguvu zotee.
Wanaosubir tuachane !
Mtasubir sana mtasubiri
(Ooh mtangonja )
Mtasubir sana mtasubiri
(wanaosubir tuachane )
Mnasubir sana mtasubiri
(Chukueni viti mkae)
Mtasubir sana mtasubiri
🎶🎵🎼
 
Shem niletee kale ka nyimbo ka zuchu na Diamond🎶🎼
Oyooooooooo!!

Mmmh mmmh mmmh

Eeh nini sasa

Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh
Kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari

Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane
Ooh mtangoja
Mtasubiri sana mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Vuten kiti mkae
Mtasubiri sana mtasubiri

Ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba

Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtakesha
Mtasubir sana mtasubiri
Mtandike jamvi mukae
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtangoja sana

Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kesho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini
 
Wanaosubir tuachane !
Mtasubir sana mtasubiri
(Ooh mtangonja )
Mtasubir sana mtasubiri
(wanaosubir tuachane )
Mnasubir sana mtasubiri
(Chukueni viti mkae)
Mtasubir sana mtasubiri
🎶🎵🎼
Wambea wanachungulia afu wanarudi ndani kwa aibu, vijuso vimewashuka 👌🤣🤣🤣
 
Oyooooooooo!!

Mmmh mmmh mmmh

Eeh nini sasa

Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh
Kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari

Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane
Ooh mtangoja
Mtasubiri sana mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Vuten kiti mkae
Mtasubiri sana mtasubiri

Ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba

Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtakesha
Mtasubir sana mtasubiri
Mtandike jamvi mukae
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtangoja sana

Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kesho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini
Ewaaaaaaa......

Tunamalizia na ile ya Mboso

Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata

Kazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikani

Mimi, nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
(Msinitafute, msihangaike)
Nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Nipo salama mimi, nipo salama mimi
Msinitafute niko salama mimi
🎼🎵🎶
 
Ewaaaaaaa......

Tunamalizia na ile ya Mboso

Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata

Kazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikani

Mimi, nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
(Msinitafute, msihangaike)
Nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Nipo salama mimi, nipo salama mimi
Msinitafute niko salama mimi
🎼🎵🎶
Teeeeeeeeeeeeena👌
Shem nakudai vocha ile siku nimekuita mpk koo lilikauka hivo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom