Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wee nimdini ulie kubuhuNaomba mtu mmoja apitie ninayoandika then aniambie mi ni mtu wa namna gn na pia na haiba ipi
Akiwa sahihi 80% aniruhusu nim-PM apate muamala wa Moja baridi Moja moto
🙏Npo serious
😁😁😁😁Online au Offlinewee nimdini ulie kubuhu
on line off sijui mkuu.namwnzako jiwe angavu na mokkiti. au ni id zako mkuu?😁😁😁😁Online au Offline
Apana hao nkiwakuta humu mi ID yangu Moja. 🤣🤣🤣Upo off point sana Sema nimeeleza humu kwann nimekua hvo, nauchukia sana uislamu kwa sababu ya waislamu wachacheon line off sijui mkuu.namwnzako jiwe angavu na mokkiti. au ni id zako mkuu?
poa mkuu.😁😁Apana hao nkiwakuta humu mi ID yangu Moja. 🤣🤣🤣Upo off point sana Sema nimeeleza humu kwann nimekua hvo, nauchukia sana uislamu kwa sababu ya waislamu wachache
Wewe maandishi yako hayaendani na uhalisia wako dakitare?Sio wote huandika vile walivyo sababu ya hizi IDs ambazo si halisi...
Lakini hizi ID's huwa hazibadilishi uhalisia wa mioyo yetu...
Wewe maandishi yako hayaendani na uhalisia wako dakitare?
Nakaziaaaaaaaa!Sio wote huandika vile walivyo sababu ya hizi IDs ambazo si halisi...
Lakini hizi ID's huwa hazibadilishi uhalisia wa mioyo yetu...
Shem niletee kale ka nyimbo ka zuchu na Diamond🎶🎼Shem naona kachana talaka basi unaringa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaosubir tuachane ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niitiee shem wakoo, nataka nirudishee majeshi kwa nguvu zotee.
Oyooooooooo!!Shem niletee kale ka nyimbo ka zuchu na Diamond🎶🎼
Wambea wanachungulia afu wanarudi ndani kwa aibu, vijuso vimewashuka 👌🤣🤣🤣Wanaosubir tuachane !
Mtasubir sana mtasubiri
(Ooh mtangonja )
Mtasubir sana mtasubiri
(wanaosubir tuachane )
Mnasubir sana mtasubiri
(Chukueni viti mkae)
Mtasubir sana mtasubiri
🎶🎵🎼
Shikamoo mr vocha!☺️Shem niletee kale ka nyimbo ka zuchu na Diamond🎶🎼
Ewaaaaaaa......Oyooooooooo!!
Mmmh mmmh mmmh
Eeh nini sasa
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh
Kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Mnasubiri tuachane
Ooh mtangoja
Mtasubiri sana mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Vuten kiti mkae
Mtasubiri sana mtasubiri
Ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Mnasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtakesha
Mtasubir sana mtasubiri
Mtandike jamvi mukae
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtangoja sana
Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kesho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini
Wala sikubali uninyime hicho unachotaka kuninyima boss lady😄Shikamoo mr vocha!☺️
Nakunyima ugali dagaa bossi kubwaa!Wala sikubali uninyime hicho unachotaka kuninyima boss lady😄
Heshima yako boss lady👋
Teeeeeeeeeeeeena👌Ewaaaaaaa......
Tunamalizia na ile ya Mboso
Vipeperushi vinasambaaa
Eti natafutwa
Nimepotea, wiki imekata
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi imekata
Kazini sionekani
Yupo wapi huyu
Simuni sipatikani
Mimi, nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
(Msinitafute, msihangaike)
Nimezama katika kina
Kirefu cha bahari ya mapenzi
Nipo salama mimi, nipo salama mimi
Msinitafute niko salama mimi
🎼🎵🎶
Na matoke madamNakunyima ugali dagaa bossi kubwaa!
Mi Niko poa sana bestie amichiiuuuuu 😘!