Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Eee [emoji15][emoji15] mama mchungaji ana watoto mapacha?
Mbona alisema kigori anatafuta wa kupiga deki jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi itakua nami kanidanganya. Maana kuna sehem aliniambia eti anao mapacha
 
Mi ni mzee wa makanisa, leteni fungu la kumi nikemee hayo mapepo
 
Back
Top Bottom