Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu?

Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu?

Nitakuja kuelekeza mkuu now kuna kazi nafanya

Mfano Mimi naweza kushika vitu thelathini vilivo kwenye mpangilio hard thing ila ni somo zuri sana ukilielewa

Namba za simu nawza nisizisave ila nkazshaka at the leap of the point

Nikipata muda nitaelekeza kwa lugha rahisi sana
Mkuu tunaomba hii elimu,binafsi nawakumbuka wote niliosoma não shule ya msingi ila niliosoma não secondary nawakumbuka watu wasiozidi wanane tu😇
Naomba hili darsa ili niwasaidie wanangu wasiwe kilaza kama mimi😂😂😂
Nalog off
 
Mkuu tunaomba hii elimu,binafsi nawakumbuka wote niliosoma não shule ya msingi ila niliosoma não secondary nawakumbuka watu wasiozidi wanane tu[emoji56]
Naomba hili darsa ili niwasaidie wanangu wasiwe kilaza kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nalog off
[emoji848][emoji144][emoji44][emoji44][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Ilikuwa mwaka 2014 siku ya Jumamosi. Siku hiyo kuna jamaa yangu tulikuwa tunapiga wote vyombo tangu asubuhi. Tulianzia mabibo External baadae tukahamia River side bar. Halafu mimi nikaenda Mabibo makutano na yeye akaenda Mlimani City

Kwenye saa kumi na moja akanifuata Mabibo alikuwa na pikipiki lakini mara akaitwa external kuchukua pesa fulani. Nikamsihi aendeshe taratibu akajisifu kuwa yeye ni dereva mzuri hasa anapopiga vyombo. Akaacha bia zake mezani akaondoka

Kwenye saa kumi na mbili nikapigiwa simu na mtu nisiyemjua akinipigia simu akiniuliza kama namfahamu mwenye hiyo number kwakuwa kapata ajali ( kumbe ni yule rafiki yangu lakini number yake ya tigo nilikuwa sina.... Mimi nikajibu hapana na kuendelea na zangu

Kwa mawazo yangu nikajua huko aliko jamaa lazima na hawezi kurudi tena. Nilikuja kujua Jumanne kama kapata ajali mbaya Mabibo mwisho siku ya Jumamosi.. Nikakumbuka kila kitu. Jamaa alikaa ICU siku 45 bila fahamu na siku aliyozinduka cha kwanza kuuliza ilikuwa Mshana yuko wapi

Jr[emoji769]
Mshana natamani day moja tuonane nipo makuburi
 
mada za Mshana very intellectual, huwa anajaribu kututoa nje ya box. mara nyingi elimu ya darasani huwa ina mipaka ya ufahamu. kwa mfano ili uweze kuwa mtalaam kwenye fani fulani, na kwa level fulani, utapaswa kusoma kwa level ya umelewa wako wa kusoma.
Mshana anajaribu kutuelimisha tofauti ya AKILI na KARAMA.
Akili ina mipaka, ila karama haina mipaka,
Mtu mwenye karama ana uwezo wa kufanya miujiza ambayo mtu mwenye akili hawezi kufanya.
Kwa mfano, mgonjwa anaweza kuwa na tatizo la mtindio wa ubongo, daktari specialist wa ubongo akajitahidi kumtibu kadiri ya uwezo wake wote, mwisho akasema hawezi kupona. Lakini yule mgonjwa akapelekwa kwa mtu mwenye karama ya uponyaji akamwekea mikono akapona.
Naomba daktari specialist akimaliza kutudadavulia juu ya akili, Mshana Jr endelea baba............
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]napokea kwa moyo wa unyenyekevu mkubwa....!!!

Jr[emoji769]
 
.
IMG_20200607_174045_158.JPG
FB_IMG_1591486504925.jpeg
 
Back
Top Bottom