Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa huwa tunaongelea epilepsy mkuuu wangu defect za mfumo wa sakiti ya umeme kwenye ubongoHii seizures inayofanya mtu anaondolewa nusu ya ubongo wake ni ugonjwa gani? I mean unakuwaje?
Shukurani mkuu,,,
Sawa ntakuelekeza maana linahtaji utulivu sana hilishukurani mkuu,,,
je kuna tofauti gani kati ya brain death na coma?,,
kwa maana mtu aliyeko kwenye coma arespond chochote kile,,,
kwa maana kibongo bongo mtu anaweza kuwa kwenya coma tukaambiwa ni brain death tukamzika,,,,,
Kwamba hutaki kukumbuka kituNakufuta takataka zote katika ubongo nafanyaje babaake na swarehe
Akili sio ubongo. Inabidi tuwaulize wazungu au utusaidie ubongo kama kiungo na akili kipi ni kipi katika Kiingereza. Kadhalika kuna "Intellect" nyinyi wajuzi wa Kiingereza au ambao lugha ya Kiingereza ndio lugha yenu ya kwanza mtatusaidia hapa.Sorry, hivi akili sio ubongo?
Akili kwa kingereza ni nini? Sio brain?
Hili ndio swali la msingi la kujiuliza katika hii mada.Labda tuulizane AKILI ninini?
Jr[emoji769]
Hapana Zurri tusianze kuhoji hilo la AKILI kwanini inaitwa AKILI.. Tukiamua kufanya hivyo tutaingia chaka kwakuwa tutahoji kila kitu kwanini kinaitwa hivyoHili ndio swali la msingi la kujiuliza katika hii mada.
Kwangu kuna maana zaidi ua moja zinazoelezea akilo ni nini ?
Lakini pia inabidi tujue kwanini AKILI iliitwa AKILI ?
narudi ....
Mufti ukimaliza kufturu nitag nije kujifunza hukuHili ndio swali la msingi la kujiuliza katika hii mada.
Kwangu kuna maana zaidi ua moja zinazoelezea akilo ni nini ?
Lakini pia inabidi tujue kwanini AKILI iliitwa AKILI ?
narudi ....
Nimerudi.
Hoja yako nzuri, ila kuna msamiati au kila msamiati una asili yake. Nakupa mfano, Sheikh Nabhaniy ndio alisema au alipendekeza "Runinga" kwa maana "TV" iwe ndio kiwakilishi jina chake. Sheikh Nabhani bingwa wa lugha ya Kiswahili, ameelezea kwanini ameiita "TV" runinga, huu ni mjumuiko wa maneno kadhaa yenye maana pweke.Hapana Zurri tusianze kuhoji hilo la AKILI kwanini inaitwa AKILI.. Tukiamua kufanya hivyo tutaingia chaka kwakuwa tutahoji kila kitu kwanini kinaitwa hivyo
Jr[emoji769]
Hapana Zurri tusianze kuhoji hilo la AKILI kwanini inaitwa AKILI.. Tukiamua kufanya hivyo tutaingia chaka kwakuwa tutahoji kila kitu kwanini kinaitwa hivyo
Jr[emoji769]
Nimekupata vema kwa muktadha wa asili ya neno AKILI [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]... Tuendelee kujifunzaHoja yako nzuri, ila kuna msamiati au kila msamiati una asili yake. Nakupa mfano, Sheikh Nabhaniy ndio alisema au alipendekeza "Runinga" kwa maana "TV" iwe ndio kiwakilishi jina chake. Sheikh Nabhani bingwa wa lugha ya Kiswahili, ameelezea kwanini ameiita "TV" runinga, huu ni mjumuiko wa maneno kadhaa yenye maana pweke.
Kujua asili ya tamko fulani ndio hufanya wepesi wa kulijua tamko hilo kwa uhalisia, na kupitia asili ya kwanini Akili iliitwa akili ukaelewa vyema maana ya AKILI.
Naanzia hapa : Nanukuu;
Akili ni nini ?
The dictionary al-Mu’jam al-wasit, published by the Arabic Language Academy in Cairo, defines reason as what responds to the natural instincts; what enables thought and reasoning and composition and illustration and attestation; and what distinguishes the beautiful from the repulsive, good from evil, and truth from falsehood.
Kwanini "Akili" imeitwa "Akili" ?
"The term is derived from the root ‘ayn qaf lam, its essential meaning being prevention. It so named because reason prevents its bearer from what does not correspond to it, unlike beasts, which act according to their appetites."
Maana ziko nyingi zinazoelezea tamko Akili, zote zinarudi katika maana ya msingi ya "KIZUIZI" ila tutosheke na maana hii, kisha tuendeleze mjadala, baadae tuje tuelezane Akili makazi yake ni wapi ?
Ahsante.
Amefafanua vizuri sanaKwa nini meza inaitwa meza [emoji23]
Ila zurri hunifurahisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kufatilia mjadala huu, naona bado tupo au tunakinzana ni yapi hasa makazi ya AKILI.Nimekupata vema kwa muktadha wa asili ya neno AKILI [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]... Tuendelee kujifunza
Jr[emoji769]
Akili ni nini?Kwa kufatilia mjadala huu, naona bado tupo au tunakinzana ni yapi hasa makazi ya AKILI.
Somo hili linataka mifano ili kuelewana vizuri. Fasili za kitabibu huwa sizipatilizi sana sababu zina matatizo yake,leo hii ukiwauliza madaktari KIFO ni nini, majibu yake yatakufanya uelewe kwanini siyapatilizi maelezo yao juu ya akili. Nakupa mfano, "Ukiona mtu kwa mbali ukatambua kuwa yule ni mtu, hii kazi imefanywa na mlango wa fahamu kujua ya kuwa yule ni mtu, ukienda mbali na kutaka kujua yule ni nani ? , kazi hii inafanywa na akili. Swali hii akili ipo wapi ?
Nanukuu yafuatayo ili kujua au kuelekea kujua Akili iko wapi, anasema mwanachuoni "Asfahani" yafuatayo :
"Al-Raghib al-Asfahani defined reason in his Mufradat al-Qur’an as the power that enables knowledge."
Akili iko wapi ? Swali la msingi.
The commentator (Mshereheshaji) on the Qamus observes: People differ regarding the intellect: does it have a reality? If so, is it essential or accidental? Is its locus in the head or the heart? Are intellects equal or unequal? Whether power or substance, it is the immaterial degree by which God distinguished humans from beasts.
Tuendelee....
Akili sio matokeo, hapa tutakuuliza matokeo ni nini ?Akili ni nini?
Akili ni matokeo ya matumizi sahihi ya ubongo,ni pale ubongo wetu unapofanya kazi ya kuchakata taarifa inayotafutwa na kuchuja mambo kwa logic na kutoa jibu sahihi kwa wakati sahihi
Mfano tunaposema mtoto ana akili za darasani ina maana huyu mtoto ubongo wake upo tayari kupokea taarifa kwa usahihi,kuichakata na kuihifadhi kwenye memory na kutumia taarifa hizo zenye logic kwa usahihi punde zinapohitajika
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ziada ya maneno ni hapa ulipo leta mambo ya "Logic". Logic inamsaidia vipi mtu kufikiro kwa usahihi ?kuchuja mambo kwa logic na kutoa jibu sahihi kwa wakati sahihi
Tunasubir maelezo ya jinsi ya kusaidia watoto wetu kutunza kumbukumbu vizur na bila kusahau sisi wenyewe....nadhan utasaidia wengiKwa nini meza inaitwa meza [emoji23]
Ila zurri hunifurahisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app