Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndo yanaitwa mapicha Picha ya ubongo, hapo bado hujagusia lile tukio la kufanya jambo alafu ukahisi kwamba kama ulishawahi kulifanya katika style ya namna hiyohiyo
kulikoni tena sheikh, unagombana na doctor JF?Ila ngoja kwanza , mshana bado tuna ugomvi mzee. ??
AlrightStory za ubongo ni nyingi sana kama mtahitaji niendelee kuelezea mtaniambia wakuu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
nijuavyo mimi hippocampus ni temporal storage location (memory) ni sehem matakataka yote yanafikia kabla ya kupita kwenye filter ili important data ziende kwenye permanent storage.hippocampus
@Baba Swalehe mkuu kuna kausemi maarufu unamkuta mtu anamwambia mwenzie "embu fikiri kwa kutumia ubongo"yani inamaana mwanadamu ana kitu kingine anachotumia kufikiri ukiacha ubongo ?Story za ubongo ni nyingi sana kama mtahitaji niendelee kuelezea mtaniambia wakuu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanyaa kazi zote storing long term memories and making them resistant to forgetnijuavyo mimi hippocampus ni temporal storage location (memory) ni sehem matakataka yote yanafikia kabla ya kupita kwenye filter ili important data ziende kwenye permanent storage.
Nitakuja kuelekeza mkuu now kuna kazi nafanyaBaba Swalehe nimefatilia lecture uliotoa hapo!! Very Crucial one!!
Kwa hakika hiki chungu cha leo kimeenda poa sana
SWALI:Ni nini kifanyike ili tutunze kumbukumbuku?
Tupe utaalamu nadhifu
Sent from my SM-A750F using Tapatalk