Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Hilo swali lako mpaka sasa bado wanasayansi hawana jawabu la moja kwa moja.Naweza nisiwe sahihi sana lakini ni kama ulinganifu wa RAM na ROM je kuna mahusiano gani ya ki mawasiliano kati ya moyo na ubongo?( roho na ufahamu) na ni kipi kati ya hivi viwili chenye nguvu ya uhawalisho na kichocheo chanya ama hasi dhidi ya kingine?
Jr[emoji769]
Hili bado ni fumbo kubwa, ila nnaamini kwa kasi ya teknolojia tunayoenda nayo haitachukua muda mrefu kupata jawabu sahihi ya fumbo hili.