Je ubongo una back up memory? Je ni ule mlango wa nane wa fahamu?

Mkuu tunaomba hii elimu,binafsi nawakumbuka wote niliosoma não shule ya msingi ila niliosoma não secondary nawakumbuka watu wasiozidi wanane tu😇
Naomba hili darsa ili niwasaidie wanangu wasiwe kilaza kama mimi😂😂😂
Nalog off
 
[emoji848][emoji144][emoji44][emoji44][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Mshana natamani day moja tuonane nipo makuburi
 
mada za Mshana very intellectual, huwa anajaribu kututoa nje ya box. mara nyingi elimu ya darasani huwa ina mipaka ya ufahamu. kwa mfano ili uweze kuwa mtalaam kwenye fani fulani, na kwa level fulani, utapaswa kusoma kwa level ya umelewa wako wa kusoma.
Mshana anajaribu kutuelimisha tofauti ya AKILI na KARAMA.
Akili ina mipaka, ila karama haina mipaka,
Mtu mwenye karama ana uwezo wa kufanya miujiza ambayo mtu mwenye akili hawezi kufanya.
Kwa mfano, mgonjwa anaweza kuwa na tatizo la mtindio wa ubongo, daktari specialist wa ubongo akajitahidi kumtibu kadiri ya uwezo wake wote, mwisho akasema hawezi kupona. Lakini yule mgonjwa akapelekwa kwa mtu mwenye karama ya uponyaji akamwekea mikono akapona.
Naomba daktari specialist akimaliza kutudadavulia juu ya akili, Mshana Jr endelea baba............
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]napokea kwa moyo wa unyenyekevu mkubwa....!!!

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…