Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.
Hapo ndio mabadiliko yatakapoanzia kwa Kasi ya 5G!Serikali inabaki ileile... Alafu jana nimeota viongozi wote serikalini watamuunga lisu mkono ili waendelee kubaki kwenye ajira kwa miaka miwili zaidi
Katiba inavunjwa na kunajisiwa kila siku na CCM leo iweje baada ya kudai HAKI ndoo mnakumbuka Katiba kumbuka Samia mweyewe alisema lwa dharau kuwa Katiba ni "kijitabu tu"NAONA KATIBA YA JMT INAENDA KUVUNJWA NA KUNAJISIWA
Wote tuseme 'amen'
Mkuu hatufiki huko 2027..Ngoma inachezwa na kuisha mwaka huu..Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.
Hao wapuuzi waendelee kulipwa kwani wanafanya nini cha maana hapo? Hawalipi Kodi wanapewa mafao mengi sana huku walivyo wajinga eti wanapitisha watumishi wa serikali walipwe kwa kikokotoo? Walaaniwe sana!Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.