Je, udhalilishaji huu wa Taaluma ya Uandishi wa Habari nchini unaofanywa na GSM ni kwamba MCT ya Mukajanga na TEF ya Balile wameubariki?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kama kwa muda mrefu ulikuwa ukijiuliza ni kwanini Waandishi wa Habari wengi pamoja na Vyombo vyao vya Habari nchini Tanzania vinaipamba sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuichafua Simba SC huenda leo ukapata Majibu.

Baada ya Mightier Mimi kuliona tatizo hili ambalo pia ni Kinyume na Taaluma, Misingi na Maadili ya Uandishi wa Habari ilinilazimu kuanza kulifuatilia na Kazi yangu ya Kufuatilia imekuwa rahisi kwakuwa 75% ya Waandishi wa Habari ( hasa za Michezo ) nchini Tanzania ni Marafiki zangu wakubwa.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa Kampuni ya GSM ambayo ndiyo Wadhamini Wakubwa wa Klabu ya Yanga kupitia Mwandamizi wao Injinia Hersi Said wameamua kufanya Uhuni wa Kuidhalilisha Taaluma kwa Mkakati wa Kuijenga Yanga SC na Kuibomoa Simba SC hasa Kiuwasilishaji.

Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kuwa GSM kupitia Mwandamizi wao Injinia Hersi Said wameunda Kamati Maalum ( Propaganda Machine ) ambayo inajumuisha Watangazaji, Waandishi na Wachambuzi mahiri nchini ili wawe Wanaipamba Yanga SC kwa namna yoyote ile huku wakiwa Wanaichafua Simba SC hata kama inafanya mambo mazuri na makubwa ya Kimpira Uwanjani na Maendeleo nje ya Uwanja.

Ilichokifanya GSM kupitia Injinia Hersi Said ni kuwaweka Watangazaji, Waandishi na Wachambuzi hao katika Payroll yao kwa Kazi moja kubwa ya Mkakati Maalum wa Kuisifia Yanga SC na Kuivuruga na Kuichafua Simba SC.

"Mightier kwanini nikufiche Mdau wangu? Tunajua Simba SC inafanya vizuri na imeizidi Yanga SC kwa mbali mno ila Hersi na GSM yake wameshamalizana na Wahariri Wetu kwa kuwapa Pesa nyingi huku na Sisi pia tukipewa hapo hapo ganji letu na Maisha yanaenda", alisema Mmoja wa Mwandishi wa Habari mfaidika na huu Upuuzi kama siyo Upumbavu.

Na Kitu ambacho Kimenisikitisha hasa ni kwamba Watu kama MCT ya Mzee wangu Kajubi Mukajanga na TEF ya Kaka Deodatus Balile hili wanalijua ila wameamua kulikalia Kimya wakisahau kuwa Taaluma inadhalilishwa na Wao pia wakiwa si tu Waangalizi / Viranja lakini nao ni Wanataaluma Waandamizi kabisa.

Huko nyuma Mightier nilipoambiwa juu ya hili nilikuwa mgumu Kuamini ila kwa Mfano kwa Vichwa vya Habari ( upande wa Michezo ) vya Magazeti karibia yote ya leo Jumatatu tarehe 30 August, 2021 vimenifanya niamini na pia nilaani Uhuni huu unaofanywa na GSM kupitia Injinia Hersi Said.

Baada ya jana Yanga SC Kufungwa Goli 2 kwa 1 na Zanaco FC kwa Akili ya Kawaida tu leo tulitegemea kuona ndiyo Habari Ongoza katika Magazeti mengi ila cha Kushangaza Kufungwa kwa Yanga SC siyo Story isipokuwa Uwanja kujaa, Nandy kubebwa ndani ya Boksi lenye Mende wengi na Kutumbuiza kwa Koffi Olomide ndiyo Habari ya Muhimu.

Najua / natambua kuwa Simba SC nao tarehe 19 watafanya Tamasha lao na nina uhakika ikitokea Siku hiyo Simba SC ikafungwa na Klabu Mwalikwa Magazeti yote Kesho yake Asubuhi Habari Uza / Habari Ongoza yao itakuwa ni Vichwa vya Habari vya Kuikandia, Kuidhalilisha na Kuichafua tu Simba SC.

Namalizia tu kwa kurejea Kauli ya Rais Mstaafu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa aliyoitoa kwa Waandishi wa Habari alipokuwa Uwanja wa Ndege ( JNIA ) wakifanya Mazungumzo nae ambapo alisema Waandishi wa Habari wengi wa Tanzania ni Wapumbavu na akawasifu mno wale wa BBC na DW.

Sasa kama Rais Mstaafu Hayati Mzee Benjamin Mkapa alishawatambua Upuuzi wao mpaka akawaita Wapumbavu Mimi Mightier ni nani nimbishie au nimkatalie wakati Mkapa ndiyo Mmoja wa Waandishi wa Habari waliokuwa na Uweledi na umakini wa hali ya juu miaka ya nyuma mpaka pale walipokuja kuwaachia Mikoba akina Mzee Ulimwengu na kwa bahati mbaya sana sasa Media ya Tanzania imekuwa inanuka kwa Rushwa na Kukengeuka zaidi Kimaadili hadi Wananchi wameshaidharau.

Waandishi endeleeni tu Kutumika sawa?
 
Tanzania hakuna waandishi wa habari wala wachambuzi, Ni mapumbavu fulani tu yasiyojua kitu
 
Na nyie mnaoshabikia hawa ma-pochoro na timu zao ni ndondocha tu. Huu ujinga watu wenye akili walishaukataa zamani sana. Huu ujinga wa kutumika na kuwafanya ma-pochoro waendelee kunufaika kwa mgongo wa ''ufadhili''. Ngozi nyeusi mna akili ndogo sana. Nyie mnauana huku kwa ushabiki mbuzi wakati wenzenu wanachuma. Ona sasa wameleta mpaka vimada wao na kuwaweka wawe ma-nyapara wa ndondocha na manamba kama ninyi. Mnaouana wenye kwa wenyewe wakati wao wanafaidika.
 
...........Huu mwandiko ni wa yule mgonjwa wa akili niliyemblock naona kaja na ID nyingine.
 
Na nyie mnaoshabikia hawa ma-pochoro na timu zao ni ndondocha tu. Huu ujinga watu wenye akili walishaukataa zamani sana. Huu ujinga wa kutumika na kuwafanya ma-pochoro waendelee kunufaika kwa mgongo wa ''ufadhili''. Ngozi nyeusi mna akili ndogo sana. Nyie mnauana huku kwa ushabiki mbuzi wakati wenzenu wanachuma. Ona sasa wameleta mpaka vimada wao na kuwaweka wawe ma-nyapara wa ndondocha na manamba kama ninyi. Mnaouana wenye kwa wenyewe wakati wao wanafaidika.
Bora vimada wa kike kuna mmoja anmiliki vimada wa kiume hapo utopoloni kaongeza mmoja bado yule mbongo fleva wa kiume
 
Ndiyo maana nikasema hawa ma-ponjoro wanawapelekesha mandondocha tu. Watu wanapelekeshwa utadhani kundi la nyumbu wanavyopelekeshwa na simba mmoja. Wajanja huko walishashtukia zamani. Uwe shabiki wa Simba au Yanga yote ni mamoja. Ni undondocha!
 
hili liko waz kbs hakuna weled kweny taaluma ya habr
 
Kama kwa muda mrefu ulikuwa ukijiuliza ni kwanini Waandishi wa Habari wengi pamoja na Vyombo vyao vya Habari nchini Tanzania vinaipamba sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuichafua Simba SC huenda leo ukapata Majibu.

Baada ya Mightier Mimi kuliona tatizo hili ambalo pia ni Kinyume na Taaluma, Misingi na Maadili ya Uandishi wa Habari ilinilazimu kuanza kulifuatilia na Kazi yangu ya Kufuatilia imekuwa rahisi kwakuwa 75% ya Waandishi wa Habari ( hasa za Michezo ) nchini Tanzania ni Marafiki zangu wakubwa.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa Kampuni ya GSM ambayo ndiyo Wadhamini Wakubwa wa Klabu ya Yanga kupitia Mwandamizi wao Injinia Hersi Said wameamua kufanya Uhuni wa Kuidhalilisha Taaluma kwa Mkakati wa Kuijenga Yanga SC na Kuibomoa Simba SC hasa Kiuwasilishaji.

Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kuwa GSM kupitia Mwandamizi wao Injinia Hersi Said wameunda Kamati Maalum ( Propaganda Machine ) ambayo inajumuisha Watangazaji, Waandishi na Wachambuzi mahiri nchini ili wawe Wanaipamba Yanga SC kwa namna yoyote ile huku wakiwa Wanaichafua Simba SC hata kama inafanya mambo mazuri na makubwa ya Kimpira Uwanjani na Maendeleo nje ya Uwanja.

Ilichokifanya GSM kupitia Injinia Hersi Said ni kuwaweka Watangazaji, Waandishi na Wachambuzi hao katika Payroll yao kwa Kazi moja kubwa ya Mkakati Maalum wa Kuisifia Yanga SC na Kuivuruga na Kuichafua Simba SC.

"Mightier kwanini nikufiche Mdau wangu? Tunajua Simba SC inafanya vizuri na imeizidi Yanga SC kwa mbali mno ila Hersi na GSM yake wameshamalizana na Wahariri Wetu kwa kuwapa Pesa nyingi huku na Sisi pia tukipewa hapo hapo ganji letu na Maisha yanaenda", alisema Mmoja wa Mwandishi wa Habari mfaidika na huu Upuuzi kama siyo Upumbavu.

Na Kitu ambacho Kimenisikitisha hasa ni kwamba Watu kama MCT ya Mzee wangu Kajubi Mukajanga na TEF ya Kaka Deodatus Balile hili wanalijua ila wameamua kulikalia Kimya wakisahau kuwa Taaluma inadhalilishwa na Wao pia wakiwa si tu Waangalizi / Viranja lakini nao ni Wanataaluma Waandamizi kabisa.

Huko nyuma Mightier nilipoambiwa juu ya hili nilikuwa mgumu Kuamini ila kwa Mfano kwa Vichwa vya Habari ( upande wa Michezo ) vya Magazeti karibia yote ya leo Jumatatu tarehe 30 August, 2021 vimenifanya niamini na pia nilaani Uhuni huu unaofanywa na GSM kupitia Injinia Hersi Said.

Baada ya jana Yanga SC Kufungwa Goli 2 kwa 1 na Zanaco FC kwa Akili ya Kawaida tu leo tulitegemea kuona ndiyo Habari Ongoza katika Magazeti mengi ila cha Kushangaza Kufungwa kwa Yanga SC siyo Story isipokuwa Uwanja kujaa, Nandy kubebwa ndani ya Boksi lenye Mende wengi na Kutumbuiza kwa Koffi Olomide ndiyo Habari ya Muhimu.

Najua / natambua kuwa Simba SC nao tarehe 19 watafanya Tamasha lao na nina uhakika ikitokea Siku hiyo Simba SC ikafungwa na Klabu Mwalikwa Magazeti yote Kesho yake Asubuhi Habari Uza / Habari Ongoza yao itakuwa ni Vichwa vya Habari vya Kuikandia, Kuidhalilisha na Kuichafua tu Simba SC.

Namalizia tu kwa kurejea Kauli ya Rais Mstaafu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa aliyoitoa kwa Waandishi wa Habari alipokuwa Uwanja wa Ndege ( JNIA ) wakifanya Mazungumzo nae ambapo alisema Waandishi wa Habari wengi wa Tanzania ni Wapumbavu na akawasifu mno wale wa BBC na DW.

Sasa kama Rais Mstaafu Hayati Mzee Benjamin Mkapa alishawatambua Upuuzi wao mpaka akawaita Wapumbavu Mimi Mightier ni nani nimbishie au nimkatalie wakati Mkapa ndiyo Mmoja wa Waandishi wa Habari waliokuwa na Uweledi na umakini wa hali ya juu miaka ya nyuma mpaka pale walipokuja kuwaachia Mikoba akina Mzee Ulimwengu na kwa bahati mbaya sana sasa Media ya Tanzania imekuwa inanuka kwa Rushwa na Kukengeuka zaidi Kimaadili hadi Wananchi wameshaidharau.

Waandishi endeleeni tu Kutumika sawa?
Huu ni uongo wa waziwazi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kolo fc zama zishabadilika,mnatamani bashite arudi kwenye zile enzi ampe kesi GSM kama alivyofanya kwa manji ila ndio hivyo tena 😀
 
Hao makanjanja hawana maana hakuna anayejielewa atapoteza muda nao, Simba SC itabaki hivyo, mpira hauchezwi chumbani unachezwa uwanjani kila mmoja anajionea.
 
Mi nishaachaga kununua magazeti ya michezo, sana sana nanunuaga la Simba siku moja moja kuwaungisha chama langu.
 
Back
Top Bottom