Rough player
Member
- May 26, 2018
- 39
- 120
Natumaini wote wazima humu jamvini
Bila kuchelewa naona niende moja kwa moja kwenye mada husika
Kwanza kabisa nianzie hapa kutokana na matukio mengi ya kigaidi yanayofanywa na vikundi vya kigaidi (al qaeda alshaabab isis taliban n.k) vinavyodai vinafanya hivyo kwa ajili ya allah/islam,,sasa kutokana na hilo nikaamua kufanya utafiti wa kujua ukweli wa mambo kiundani zaidi na kujua nini hasa kinaendelea,
Historia inatuambiaje kuhusu uhusishwaji wa uislam na ugaidi,, miaka 1400 iliyopita ambayo neno islam liliamza kutumika kama jina la dini huko mashariki ya kati hakukua na kitu kilichoitwa ugaidi kipindi chote hicho ila ugaidi ulianza pale tu marekani na washirika wake kuamua kuivamia mashariki ya kati miaka 20 iliyopita kuanzia hapo tulishuhudia vikundi vya kigaidi vikizuka zaidi ambapo huko nyuma havikuwepo wala ugaidi haukuwepo kwa maana hiyo tunapata kujua kua marekani ilikua chanzo cha kuingiza ugaidi mashariki ya kati,
Je lengo kuu la kuingiza ugaidi mashariki ya kati ni lipi?
Kuna kiongozi mmoja freemason aliyekua anaitwa albert pike alizaliwa 1809 na kufariki 1891 alikua ni mwandishi mwanajeshi pia freemason wa (degree ya 33 ambayo ndiyo ya mwisho)mnamo mwaka 1857 alisema katika moja wa mipango yao kishetani/freemason ni kuutumia uislam kuichafua dunia na uislam wenyewe ndiyo maana kila tukio la kigaidi viongozi wa vikundi hivyo hujitokeza na kudai ni wao wamefanya kwa ajili ya allah,,hiyo hupelekea watu wengi wasiojua ukweli kiundani kuuchukia uislam na wasipende hata kujua ukweli wowote hii imeiathiri dunia na jamii ya kiislam kiujumla
Kwa maana hata ukiangalia kwa usahihi unapata kujua uislam haufundishi ugaidi ni vitu viwili visivyoingiliana ila ni wale pekee wenye upungufu wa maarifa na kuona nini kinaendelea kwa undani
Watu wa ulaya na marekani wengi wanajiunga na uislam kutokana wanasoma na kuelewa na kujua ukweli kwamba uhalisia wa dini na vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu au vikundi sio kati ya dini hiyo bali ni wanafanya kwa manufaaa na mipango yao
Nimejaribu kuelezea kwa namna nilivyofanya tafiti kama kuna cha kuongeza au kuna sehemu nimekosea basi turekebishane hakika humu tupo kwa ajili ya kujifunza
Nawasilisha