Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
Kabla sijaenda ndani kujadili hicho ulichokiandika nipe rejea inayotamka
1. unabii ulikua kwa ajili ya kizazi cha Ibrahim peke yake, leta ushahidi
2. Umasema hakuna mahali Mtume Muhammad anafiti, nipe ushahidi wewe unafiti wapi unapojinasibisha na yesu? Matthew 15:24 yesu anasema alitumwa/aliletwa kuwaokoa kondoo waliopotea katika nyumba ya wana wa israeli, jee wewe na wenzako mnawezaje kujinasibisha na yesu? Kasome pia matthew 10:5-6.
3. Unapata shida kumtambua Mtume Muhammad kwa sababu huna ufahamu wa kutosha unaomuhusu Mtume Muhammad na Yesu pia. Badala yake unabaki kudandia maandiko yanayopotosha juu ya viumbe hao wawili na wengineo.