Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Sio lazima uandikwe RIPUsiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi?
Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara
Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo
Binafsi sina ila ndio hvyo tunasonga
Nikifa mtajuaje?Sio lazima uandikwe RIP
Mke wako atatupa TaarifaNikifa mtajuaje?
Ongea
AahhaaaaaMke wako atatupa Taarifa
Sawa mkuuSiku kabla hujakata moto andika wosia mapema...Labda itokee bahati mbaya ukaenda na ajali hapo sasa ndipo shida ilipo!
Tupe namba ya mke wako ukipote tunampigia smSawa mkuu
We jamaa kuna wakati kama unatumia makalio kuandika majibu yako.Mke wako atatupa Taarifa
Kwani wewe ndio mama samia😂😂Mimi nikifa nchi nzima itajua sema kujua Kwa huku jf kama ndio Mimi nimekufa itakuwa uongo.
Ila kuna watu watasense kifo changu