The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mbona umewaza mbali Sana kwanini nisiwe alikiba na nikawa mama samiaKwani wewe ndio mama samiašš
Kwa mantiki hiyo hata zile mambo za kuzika ni mbwembwe.Watu kujua au kutokujua haisaidii lolote wala haibadili kitu kwa mfu,muda wako ukifika unasepa tu kisha wengine wanaendelea,ndio life lilivyo.
Kuwaza nje ya boksi muhimu kuhusu alikiba sidhani kama watu kwenye mikoa yote Tz wanamjua kama alivyo mama samiašššMbona umewaza mbali Sana kwanini nisiwe alikiba na nikawa mama samia
Swali lako haliendani na nilichokiandika,Kwa mantiki hiyo hata zile mambo za kuzika ni mbwembwe.
Basi najua alikiba hajulikani Sana diamondi je?Kuwaza nje ya boksi muhimu kuhusu alikiba sidhani kama watu kwenye mikoa yote Tz wanamjua kama alivyo mama samiaššš
Hata huyo pia...Mchongo ni mama na kwanini unapingana na hili šššBasi najua alikiba hajulikani Sana diamondi je?
Mama samia unajua umewaza mbali Sana.š š
Hapana mkuu huko ni mbali Sanaš š šHata huyo pia...Mchongo ni mama na kwanini unapingana na hili ššš
Kenya hukoSehemu ninakoishi nadhani Ni Mimi pekee ndo member wa JF, wengine wote hata hawajui Kama Kuna mtandao unaoitwa Jamiiforumsš
Kwa siku nikifa Hakuna atakayekuja kutoa taarifa.
Sio lazima ufe[emoji1]Nikifa mtajuaje?
Ndio, Tena magharibi mwa nchiKenya huko