The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Watu kujua au kutokujua haisaidii lolote wala haibadili kitu kwa mfu,muda wako ukifika unasepa tu kisha wengine wanaendelea,ndio life lilivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umewaza mbali Sana kwanini nisiwe alikiba na nikawa mama samiaKwani wewe ndio mama samia😂😂
Kwa mantiki hiyo hata zile mambo za kuzika ni mbwembwe.Watu kujua au kutokujua haisaidii lolote wala haibadili kitu kwa mfu,muda wako ukifika unasepa tu kisha wengine wanaendelea,ndio life lilivyo.
Kuwaza nje ya boksi muhimu kuhusu alikiba sidhani kama watu kwenye mikoa yote Tz wanamjua kama alivyo mama samia😂😂😂Mbona umewaza mbali Sana kwanini nisiwe alikiba na nikawa mama samia
Swali lako haliendani na nilichokiandika,Kwa mantiki hiyo hata zile mambo za kuzika ni mbwembwe.
Basi najua alikiba hajulikani Sana diamondi je?Kuwaza nje ya boksi muhimu kuhusu alikiba sidhani kama watu kwenye mikoa yote Tz wanamjua kama alivyo mama samia😂😂😂
Hata huyo pia...Mchongo ni mama na kwanini unapingana na hili 😂😂😂Basi najua alikiba hajulikani Sana diamondi je?
Mama samia unajua umewaza mbali Sana.😅😅
Hapana mkuu huko ni mbali Sana😅😅😅Hata huyo pia...Mchongo ni mama na kwanini unapingana na hili 😂😂😂
Kenya hukoSehemu ninakoishi nadhani Ni Mimi pekee ndo member wa JF, wengine wote hata hawajui Kama Kuna mtandao unaoitwa Jamiiforums😂
Kwa siku nikifa Hakuna atakayekuja kutoa taarifa.
Sio lazima ufe[emoji1]Nikifa mtajuaje?
Ndio, Tena magharibi mwa nchiKenya huko