Je, ukihama bank unakuwa umejiondoa kwenye Direct Debit postings za hizi credit company?

Je, ukihama bank unakuwa umejiondoa kwenye Direct Debit postings za hizi credit company?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwa mfano umekopa kwenye hizi micro credit wakawa wanakata hela Moja kwa Moja bank je ukiamua kubadilisha mshahara uuchukulie bank nyingine itakuwa umejiondoa kwenye hako ka mkataba?
 
Wamenikera wamekata hela kubwa kuliko mapatano na Mimi nataka niwe nawalips kwa cash tu..assume unachukulia nmb je ukihamia NBC hio kukatwa direct kutaendelea??achana na yake madeni ya bank me nasemea haya ya credit companies
Dawa ya deni ni kulipa! Unataka ukimbie deni ?
 
Ukikopa unaweza kukimbia mkopo wako i.e. kuacha kulipa (huenda hata kushikwa kwako kukawa shida) ndio maana Taasisi kubwa huwa zina-writeoff baadhi ya madeni kama Bad Debt na kuyauza kwa wengine (hao wanaonunua huwa wana muda zaidi wa kula sahani moja na wewe, vitisho na simu za hapa na pale pamoja na usumbufu)

Lakini issue ya maana kabisa ni kwamba ulipaji wako ukiwa mbaya CREDIT RATING yako inashuka na kuwa mbovu hivyo hata kama una mkopo wa SONGESHA na haujalipa siku ukienda CRDB watavuta mkeka wako wa Madeni kuona kwamba wewe sio MLIPAJI hivyo either kukosa Mkopo au kushauriwa kalipe kwanza kabla hatujakufikiria (NIDA imesababisha details zako zipatikane popote) Ingawa ni vigumu Taasisi fulani ilazimishe kuchukua pesa zako / kuzikata bila kukutaarifu au idhini yako
 
Back
Top Bottom