Je Ukinunua gari la Taasisi lililosamehewa kodi utapaswa kulipa?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Wadau,
Naomba mwenye ufahamu anisaidie,nikitaka kununua gari ambalo lilisamehewa kodi ya serikali(Tax exempted) linalomilikiwa na taasisi kidini,Je ni nitapaswa kulipia ile gharama ya kodi iliyosamehewa au sitalipia?

Na kama lina miaka 10 nyuma tangu taasisi hio iagize gari hilo na nitatakiwa kulipia kodi itakuwa ni ileile,itapanda au itashuka?

Naombeni ufafanuzi.
 
Aisee kikokotoo cha TRA hakieleweki unaweza kupigwa kodi ileile wakati linaingizwa nchini
 
Wadau,
Naomba mwenye ufahamu anisaidie,nikitaka kununua gari ambalo lilisamehewa kodi ya serikali(Tax exempted) linalomilikiwa na taasisi kidini,Je ni nitapaswa kulipia ile gharama ya kodi iliyosamehewa au sitalipia?

Na kama lina miaka 10 nyuma tangu taasisi hio iagize gari hilo na nitatakiwa kulipia kodi itakuwa ni ileile,itapanda au itashuka?

Naombeni ufafanuzi.
Utapaswa kulipia kwendana na uchakavu.
 
Hiyo gari kama inazaidi ya miaka kumi huwa inasoma 0 kwa hiyo unaweza usiilipie ushuru au ukalipa kiasi kidogo sana, cha kukushauri nenda kwanza TRA watajie namba ya gari wakuangalizie makadirio yake yatakuwaje.
 
Back
Top Bottom