Aisee kikokotoo cha TRA hakieleweki unaweza kupigwa kodi ileile wakati linaingizwa nchiniWadau,
Naomba mwenye ufahamu anisaidie,nikitaka kununua gari ambalo lilisamehewa kodi ya serikali(Tax exempted) linalomilikiwa na taasisi kidini,Je ni nitapaswa kulipia ile gharama ya kodi iliyosamehewa au sitalipia?
Na kama lina miaka 10 nyuma tangu taasisi hio iagize gari hilo na nitatakiwa kulipia kodi itakuwa ni ileile,itapanda au itashuka?
Naombeni ufafanuzi.
Kuna nafasi ya kulia lia kilio wakashusha kidogoUsithubutu. Unalipa vema kabisa.
Utapaswa kulipia kwendana na uchakavu.Wadau,
Naomba mwenye ufahamu anisaidie,nikitaka kununua gari ambalo lilisamehewa kodi ya serikali(Tax exempted) linalomilikiwa na taasisi kidini,Je ni nitapaswa kulipia ile gharama ya kodi iliyosamehewa au sitalipia?
Na kama lina miaka 10 nyuma tangu taasisi hio iagize gari hilo na nitatakiwa kulipia kodi itakuwa ni ileile,itapanda au itashuka?
Naombeni ufafanuzi.
SawaUTALIPA KODI YA KUINGIZA HILO GARI HILO HALINA MJADALA..ukienda TRA watakwambia nachokueleza.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio mkuuKwamba unaweza kulipa kiasi kidogo tofauti ya iliyokuwepo?