Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna majina uliyalenga ila umeshindwa kuyaandika kama JPM na MboweTuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Mtaani watu utasikia baba pumbu kampiga pumbu,mapumbuAfadhali nimuite pumbu
Sent from my iPad using JamiiForums
Hiyo fursa nitaitupa kapuni!Tuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
jelilopeProf Jecha Lipumba Lowassa Polepole ili amfanane yule prof wa foreign kwa majina ma4
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma TanzaniaTuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Hahahahaaa! Mkuu,kuna kipindi unapaswa kuwa na mjadala wa mambo lainilaini ili kujiliwaza.Viwanda vimetushinda kujenga.Hata upuuzi wa ku-buy buy time tushindwe?Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania
Kwahiyo unaona JECHA siyo muhimu?Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania