Je, ukipewa fursa ya kuchagua jina moja umwite mtoto wako kati ya majina 4 ya watu mashuhuri Tz, Lowasa, Lipumba, Jecha, polepole, utachagua lipi?

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,246
Tuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
 
Hiyo fursa nitaitupa kapuni!
 
Labda nikimwita RUGE, ndege ya BOENG itatua kijijini fasta
 
Kuna uhusiano mwingi sana kati ya mtoto na jina mnalomwita. Huwa hata mambo mengi yanayofanana na hilo jina humpata maishani mwake. Hivyo basi itategemea kuwa huyo mtoto ulimpata kivipi hadi umuite hayo majina.
 
Ni kumtakia mtoto mikosi mfululizo maishani.
ANGALIZO ILI KUONDOA MKOSI
Choma udi aina tatu
Bugia kijinga cha moto chenye urefu wa sm 2,tafuna na umeze
Tulia dakika 7 ukitafakari na kukemea kujuta kuyajua majina hayo.
Oga vizuri uendelee na shughuli zako.Umetakasika
 
Tuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania
 
Hahahahaaa! Mkuu,kuna kipindi unapaswa kuwa na mjadala wa mambo lainilaini ili kujiliwaza.Viwanda vimetushinda kujenga.Hata upuuzi wa ku-buy buy time tushindwe?
 
Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania
Kwahiyo unaona JECHA siyo muhimu?
 
Moods naona mada nyepesi ndio mnazipenda mada nzito za maana mnafuta labda ziwe za kumponda lissu au mbowe ndio mnaacha .
 
Back
Top Bottom