omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Wako muite kalamaganda kabuduTuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Anyway asante kwa kunisemea!Kuna majina uliyalenga ila umeshindwa kuyaandika kama JPM na Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aina ya futuhi inayofikisha ujumbe kwa walengwa kwa njia ngumu.Kwa kweli watanzania mmekorogwa nafsi zenu hadi mmekinai!!
Mkuu wewe wasema, but imagine majina hayo ikaitwa shule, mfano ...primary schools!!!Kwa kweli watanzania mmekorogwa nafsi zenu hadi mmekinai!!
Ukitaka shida ya mungu mpejnamoja kati yahyoTuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
kila siku namwomba Mola.anijalie tena mtoto wa kiume, jina lake nishamchagulia...Freeman.Hao ni watoto wako, kwangu Tundu Lissu kama mvulana, kama msichana Samia.
Watu wenye akili na busara
Hahaaaa, aiseee Jf burdani tu. Duuuh hahahaaaNi kumtakia mtoto mikosi mfululizo maishani.
ANGALIZO ILI KUONDOA MKOSI
Choma udi aina tatu
Bugia kijinga cha moto chenye urefu wa sm 2,tafuna na umeze
Tulia dakika 7 ukitafakari na kukemea kujuta kuyajua majina hayo.
Oga vizuri uendelee na shughuli zako.Umetakasika
wewe umeendelea au umeendeleza?Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania
Kwanza utaanza kuona mtoto mdogo kila siku kuumwaumwa wewe na hospitali, hospitali na yeye. Laana inaanzia hapo.
Kuliko?Afadhali nimuite pumbu
Sent from my iPad using JamiiForums
Hilo mrisho toa atakuwa mganga/muuza unga!Tuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.