Je, ukipewa fursa ya kuchagua jina moja umwite mtoto wako kati ya majina 4 ya watu mashuhuri Tz, Lowasa, Lipumba, Jecha, polepole, utachagua lipi?

Je, ukipewa fursa ya kuchagua jina moja umwite mtoto wako kati ya majina 4 ya watu mashuhuri Tz, Lowasa, Lipumba, Jecha, polepole, utachagua lipi?

Tuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Wako muite kalamaganda kabudu
 
Ni kumtakia mtoto mikosi mfululizo maishani.
ANGALIZO ILI KUONDOA MKOSI
Choma udi aina tatu
Bugia kijinga cha moto chenye urefu wa sm 2,tafuna na umeze
Tulia dakika 7 ukitafakari na kukemea kujuta kuyajua majina hayo.
Oga vizuri uendelee na shughuli zako.Umetakasika
Hahaaaa, aiseee Jf burdani tu. Duuuh hahahaaa
 
Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania
wewe umeendelea au umeendeleza?
 
Back
Top Bottom