BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
BeautifulVigezo vyote ninavyo ila nipo dar na biashara yangu hata ukitaka nikuoneshe mpango biashara na faida zake utavutiwa tu na nipo tayari kurudisha pesa au aina yoyote ya benefit unayotaka mkuu
Vigezo vyote ninavyo ila nipo dar na biashara yangu hata ukitaka nikuoneshe mpango biashara na faida zake utavutiwa tu na nipo tayari kurudisha pesa au aina yoyote ya benefit unayotaka mkuu
Mkuu hadhari tenaTupe maujuzi
Mkuu hadhari tena
Mkuu biashara za mitaji midogo zipo nyingi sana na faida kubwa sana ujue mwanzo mm pia nilikua siamini kabisa kama elfu 5 inaweza kuwa mtaji na ukapata faida ila naapa niliwahi kuthubutu na nikaweza na mpaka sasa japo sifany ile tena sababu ya muda nimefungua kampuni kwa mtaji kidogo tena sikua nao ila nilijieleza kwa watu wenye nia wakanichangia na mpka sasa imesimam ila nakwama pesa ya matangaz na mambo mengne ila wito wangu usidharau pesa yyte boss wangu amini na thubutuNa sisi tunataka kufanya biashara ya mitaji midogo
biashara gan sasa mkuu ndio utuambie na ss ili tuifanyeMkuu biashara za mitaji midogo zipo nyingi sana na faida kubwa sana ujue mwanzo mm pia nilikua siamini kabisa kama elfu 5 inaweza kuwa mtaji na ukapata faida ila naapa niliwahi kuthubutu na nikaweza na mpaka sasa japo sifany ile tena sababu ya muda nimefungua kampuni kwa mtaji kidogo tena sikua nao ila nilijieleza kwa watu wenye nia wakanichangia na mpka sasa imesimam ila nakwama pesa ya matangaz na mambo mengne ila wito wangu usidharau pesa yyte boss wangu amini na thubutu
Kwa mbongo kukuambia Plan yake ya Biashara ni ndoto mkuubiashara gan sasa mkuu ndio utuambie na ss ili tuifanye
Sawabiashara gan sasa mkuu ndio utuambie na ss ili tuifanye
Hapana naeleza soonKwa mbongo kukuambia Plan yake ya Biashara ni ndoto mkuu
Hongera.Mm ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu
Kabla ya biashara ya sasa nimewah fanya biashara kadhaa huku nasoma toka o level kifupi nimejisomesha mimi mwwnyewe kwani sina wazazi mpka sasa nakaribia kumaliza chuo
Kufupisha story biashara ya nyuma kabla ya hii ni kuwa nilikua nauza makande yes makande haya haya ya mahindi na maharage
Kifupi najua sana kuyapika yan sana na nikipika nilikua nasifiwa sanaa so nikaona ni fursa kwani watu weng hasa dar wamezoea kula ugali au wali tu kwa mama lishe
Nikiwa mwaka wa pili chuo nilianza na mtaji wa elfu tano tu yan nilinunua mahindi nusu na robo maharage nusu sukar robo nazi moja karoti na hoho na mkaa wa buku
Nikawa naroweka mahindi na maharage usiku mzima ili yawah kuiva halafu nayaunga vizur sana kisha nilikua na makontena yan yale mabakuli ya mfuniko matatu nikaazima mengine matano nikawa napaki mule halafu sa sita mchana naenda kuuza kwenye vujiwe vya bodaboda kwa bei ya 1500 faida unapata 7000 baada ya kutoa mtaji wako na nikaendelea kukuza mpaka kuuza kontena 30 kwa siku na faida unapata 30 hiyohiyo baada ya kutoa mtaji
Kuhusu namna nilivokua nagawa muda wa masomo na biashara ni jambo lingine ambalo nitaeleza wakat mwingine ila haikua rahisi
Kwa sasa nimefungua kampuni nasambaza house maids yan house girls
Mm ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu