Je, ukipewa shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?

Je, ukipewa shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?

Sekta ya kaz za ndani kwa tz bado ni ipo chini sana japo ina soko kubwa sanaaa yan kwa anaetaka biashara nakushaur wekeza hapa yan hutojuta na makande aise biashara ina mtaj kidogo ila faida usipime atakae taka ushaur ani pm bila kinyongo nitamuelezea
Nielekeze biashara ya makande.
 
Mm ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu
Kabla ya biashara ya sasa nimewah fanya biashara kadhaa huku nasoma toka o level kifupi nimejisomesha mimi mwwnyewe kwani sina wazazi mpka sasa nakaribia kumaliza chuo

Kufupisha story biashara ya nyuma kabla ya hii ni kuwa nilikua nauza makande yes makande haya haya ya mahindi na maharage

Kifupi najua sana kuyapika yan sana na nikipika nilikua nasifiwa sanaa so nikaona ni fursa kwani watu weng hasa dar wamezoea kula ugali au wali tu kwa mama lishe

Nikiwa mwaka wa pili chuo nilianza na mtaji wa elfu tano tu yan nilinunua mahindi nusu na robo maharage nusu sukar robo nazi moja karoti na hoho na mkaa wa buku

Nikawa naroweka mahindi na maharage usiku mzima ili yawah kuiva halafu nayaunga vizur sana kisha nilikua na makontena yan yale mabakuli ya mfuniko matatu nikaazima mengine matano nikawa napaki mule halafu sa sita mchana naenda kuuza kwenye vujiwe vya bodaboda kwa bei ya 1500 faida unapata 7000 baada ya kutoa mtaji wako na nikaendelea kukuza mpaka kuuza kontena 30 kwa siku na faida unapata 30 hiyohiyo baada ya kutoa mtaji

Kuhusu namna nilivokua nagawa muda wa masomo na biashara ni jambo lingine ambalo nitaeleza wakat mwingine ila haikua rahisi

Kwa sasa nimefungua kampuni nasambaza house maids yan house girls
Hongera mpendwa.
 
Kuanza biashara inahitaji maandalizi ya kutosha, uwe na resources za kutosha ikiwemo mtaji n.k, na ukafanikiwa kuanza basi changamoto zinakua zipo haswa kama ulikua na matarajio makubwa inaweza kushusha morali na kukata tamaa, lakini yote lazima kuhakikisha unayafikia malengo hata kama utatembea mwendo wa konokono alimradi ufike mahali ulipodhamiria kufika.

Njiani waweza kutana na usaidizi mbalimbali hata katika hali ambayo huwezi kuitarajia.

Kijana mfanyabiashara ndogondogo, haswa changa, mwenye mahala pa kufanyia biashara, unayepatikana mkoani Arusha, mwenye leseni, na tin, je ukisaidika shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?
Duh 1000000 biashara ama stress
 
Ndugu aibu ni adui wa maendeleo niliweka u sister du pemben nikasahau urembo nikasahau ubishororo wa chuo nikaamua kupambana katika ugumu

House girls nawasajili wapo chini ya kampun na nawapa mafunzo ya kazi

Nikikupa tunaingia mkataba kabisa na pia usalama wa familia upo chin ya kampuni

Pia house girls nimewapa thaman yan imekua kazi kama kazi zingine nawapa mikataba na bima za afya
Hongera Sana friend
Pambana mpaka hufikie Marengo
 
Mm ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu
Kabla ya biashara ya sasa nimewah fanya biashara kadhaa huku nasoma toka o level kifupi nimejisomesha mimi mwwnyewe kwani sina wazazi mpka sasa nakaribia kumaliza chuo

Kufupisha story biashara ya nyuma kabla ya hii ni kuwa nilikua nauza makande yes makande haya haya ya mahindi na maharage

Kifupi najua sana kuyapika yan sana na nikipika nilikua nasifiwa sanaa so nikaona ni fursa kwani watu weng hasa dar wamezoea kula ugali au wali tu kwa mama lishe

Nikiwa mwaka wa pili chuo nilianza na mtaji wa elfu tano tu yan nilinunua mahindi nusu na robo maharage nusu sukar robo nazi moja karoti na hoho na mkaa wa buku

Nikawa naroweka mahindi na maharage usiku mzima ili yawah kuiva halafu nayaunga vizur sana kisha nilikua na makontena yan yale mabakuli ya mfuniko matatu nikaazima mengine matano nikawa napaki mule halafu sa sita mchana naenda kuuza kwenye vujiwe vya bodaboda kwa bei ya 1500 faida unapata 7000 baada ya kutoa mtaji wako na nikaendelea kukuza mpaka kuuza kontena 30 kwa siku na faida unapata 30 hiyohiyo baada ya kutoa mtaji

Kuhusu namna nilivokua nagawa muda wa masomo na biashara ni jambo lingine ambalo nitaeleza wakat mwingine ila haikua rahisi

Kwa sasa nimefungua kampuni nasambaza house maids yan house girls
Hongera sana dear
Nimependa kujituma kwako

Hapo kwa wadada wa kazi ni fursa mana majumbani huku watumishi wa kazi ni vichomi

ukiendeleza kurasimisha; hata kwa mikataba mbeleni,mteja anapata dada wa uhakika na we unapata commission ya uhakika

dada pia akipita mikononi mwako iwe ni fursa ya kujifunza vitu na aelekezwe akienda kwa mteja atulie..kwa mkataba..ndo mana kila sekta hizi za kuajiriwa watu huwa wanatulia mana kuna mikataba...mana unatrain dada mwezi mzima ile kaelewa mnaanza kwenda sawa anaaaga kuondoka..inahusu jmn?.

japo pia unaweza kuweka masharti kulinda utu wao mfano dada asipigwe,asinyimwe chakula wala kufanya mapenzi kwa kulazimishwa..akihiari watajiju wawili

ila ni sekta naona inaweza boreshwa zaidi kwa manufaa ya dada wa kazi, agent na mteja
 
Kifupi mtaji usiwe kikwazo cha kukukwamisha kijana nimepitia maisha magumu snaaaaa yan yanatoa machozi kuna muda nilitaman kujiua ila sikukata tamaaa nimepamban yn nikisimulia kuna baadh hamuwez kuamini ila nashukury Mungu nina moyo wa kijasiri sanaa yan kama jambazi sugu mpkaa hapa si hapa naanza kuona mwanga mtaji bado ni changamoto kwangu japo naamini kama nimefika hapa basi nitaendelea kusonga
Poleh mwaya
 
Back
Top Bottom