Je, ukipewa shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?


Kwanini uliamua kuacha iyo kazi wakati ilikuwa inakupa faida nzuri kama ulivyosema?
 
We bidada una akili sana. Unaonyesha ni mtafutaji kwa kila hali na hupendi kuwa tegemezi na mvivu. Tambua kwamba jitihada na juhudi binafsi ndio mafanikio ya maisha yako. Big up!
 
Hongera sana [emoji122]
 
We bidada una akili sana. Unaonyesha ni mtafutaji kwa kila hali na hupendi kuwa tegemezi na mvivu. Tambua kwamba jitihada na juhudi binafsi ndio mafanikio ya maisha yako. Big up!
Nashukuru sanaa sanaaa kifupi mm ni mpambanaji na sijisifii hilo ndugu yangu pia sipend kua tegemez ni kwel kabisa sio rahs kwa wadada kujisomesha toka o level mm nimejisomesha kwa biashara ndogondogo jmn haikua rahisi ila tambua inawezekana na naumia sana kuona mdada anadanga kisa pesa au anaacha shule kisa hana wa kumlipia ada
 
Nimeyatamani ghafla!..usione aibu fanya lolote unalopenda....je usalama wa dada za kazi ukoje?
Ndugu aibu ni adui wa maendeleo niliweka u sister du pemben nikasahau urembo nikasahau ubishororo wa chuo nikaamua kupambana katika ugumu

House girls nawasajili wapo chini ya kampun na nawapa mafunzo ya kazi

Nikikupa tunaingia mkataba kabisa na pia usalama wa familia upo chin ya kampuni

Pia house girls nimewapa thaman yan imekua kazi kama kazi zingine nawapa mikataba na bima za afya
 
This is very good.

Kampuni yako inaitwaje?
 
Kwa speed na jitihada zako, nakuhakikishia utafika mbali.
 
Nazidi kukupenda...hongera zaidi!pambana mdogo wangu...urembo weka kando!...maisha ni rahisi Sana kwakweli .basi tu tumejifungia kwenye kijichumba kidg...tangaza matangazo yako hata insta ..na humu..wenyew uhitaji wa wadada ni wengi
 
Kifupi mtaji usiwe kikwazo cha kukukwamisha kijana nimepitia maisha magumu snaaaaa yan yanatoa machozi kuna muda nilitaman kujiua ila sikukata tamaaa nimepamban yn nikisimulia kuna baadh hamuwez kuamini ila nashukury Mungu nina moyo wa kijasiri sanaa yan kama jambazi sugu mpkaa hapa si hapa naanza kuona mwanga mtaji bado ni changamoto kwangu japo naamini kama nimefika hapa basi nitaendelea kusonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…