Je, ukipewa shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?

Hongera dada heri wanawake zetu wangekuwa kama wewe tungepumua
 
Mkoa gani upo boss
 
Vigezo vyote ninavyo ila nipo dar na biashara yangu hata ukitaka nikuoneshe mpango biashara na faida zake utavutiwa tu na nipo tayari kurudisha pesa au aina yoyote ya benefit unayotaka mkuu

Naomba nitafute mkuu
 
Ninsuhakika nipo kwenye magrouo yakuuza na kununua afu kunamitaa huwanatembelea wamama wanamajesho anaweza Hadi huruma
Mkuu naomba connection ya kujiunga kwenye hayo magroup nipo iringa.....and pia wanachuo huuza kwa bei hiyo mara nyingi wale wanaomaliza huwa wanauza vitu bei rahisi sana sio vitanda tu hadi zile kabati kali za laki 320 huwa wanauza laki 180......
 
Pia waliopo arusha kulingana na baridi zile koti za korea zinauzika sana kuna rafiki angu anauza hizi japo ni kama machinga anauza kilasiku si chini ya 10.....bei zake ni elfu 5 kwa elfu 8.....haka kabiashara kazuri sana pia ila tu uweze kuzinadi vizuri kuweka sagula ndio nzuri zaidi au mnadani..... hapo kwa elfu 5 ukiuza 10 unakuwa na elfu 50 kwa siku 1 au ukiuza ya elfu 8 kama 7 unakuwa na 56 kwa siku.....
 
Mkuu naomba connection ya kujiunga kwenye hayo magroup nipo iringa.....and pia wanachuo huuza kwa bei hiyo mara nyingi wale wanaomaliza huwa wanauza vitu bei rahisi sana sio vitanda tu hadi zile kabati kali za laki 320 huwa wanauza laki 180......
Mwaka Jana nilichukua kitanda, TV, mtungi mdogo wa gasi, godoro na vyomba vyakupikia kwa jamaa kamaliza chuo anasepa zake kwa laki moja na nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitumie namba yako pm nikuunge chap
 
Iringa makoti au masweta ni muda wote nako yanauzika Sana tu
 
Mwaka Jana nilichukua kitanda, TV, mtungi mdogo wa gasi, godoro na vyomba vyakupikia kwa jamaa kamaliza chuo anasepa zake kwa laki moja na nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitumie namba yako pm nikuunge chap
ni DSM mkuu.
 
Wanakuwaga na hali ngumu hahahaha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…