guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Nielekeze biashara ya makande.Sekta ya kaz za ndani kwa tz bado ni ipo chini sana japo ina soko kubwa sanaaa yan kwa anaetaka biashara nakushaur wekeza hapa yan hutojuta na makande aise biashara ina mtaj kidogo ila faida usipime atakae taka ushaur ani pm bila kinyongo nitamuelezea
Hongera mpendwa.Mm ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu
Kabla ya biashara ya sasa nimewah fanya biashara kadhaa huku nasoma toka o level kifupi nimejisomesha mimi mwwnyewe kwani sina wazazi mpka sasa nakaribia kumaliza chuo
Kufupisha story biashara ya nyuma kabla ya hii ni kuwa nilikua nauza makande yes makande haya haya ya mahindi na maharage
Kifupi najua sana kuyapika yan sana na nikipika nilikua nasifiwa sanaa so nikaona ni fursa kwani watu weng hasa dar wamezoea kula ugali au wali tu kwa mama lishe
Nikiwa mwaka wa pili chuo nilianza na mtaji wa elfu tano tu yan nilinunua mahindi nusu na robo maharage nusu sukar robo nazi moja karoti na hoho na mkaa wa buku
Nikawa naroweka mahindi na maharage usiku mzima ili yawah kuiva halafu nayaunga vizur sana kisha nilikua na makontena yan yale mabakuli ya mfuniko matatu nikaazima mengine matano nikawa napaki mule halafu sa sita mchana naenda kuuza kwenye vujiwe vya bodaboda kwa bei ya 1500 faida unapata 7000 baada ya kutoa mtaji wako na nikaendelea kukuza mpaka kuuza kontena 30 kwa siku na faida unapata 30 hiyohiyo baada ya kutoa mtaji
Kuhusu namna nilivokua nagawa muda wa masomo na biashara ni jambo lingine ambalo nitaeleza wakat mwingine ila haikua rahisi
Kwa sasa nimefungua kampuni nasambaza house maids yan house girls
Hivi ulifanikiwa ule mpango wako?Hongera mpendwa.
Duh 1000000 biashara ama stressKuanza biashara inahitaji maandalizi ya kutosha, uwe na resources za kutosha ikiwemo mtaji n.k, na ukafanikiwa kuanza basi changamoto zinakua zipo haswa kama ulikua na matarajio makubwa inaweza kushusha morali na kukata tamaa, lakini yote lazima kuhakikisha unayafikia malengo hata kama utatembea mwendo wa konokono alimradi ufike mahali ulipodhamiria kufika.
Njiani waweza kutana na usaidizi mbalimbali hata katika hali ambayo huwezi kuitarajia.
Kijana mfanyabiashara ndogondogo, haswa changa, mwenye mahala pa kufanyia biashara, unayepatikana mkoani Arusha, mwenye leseni, na tin, je ukisaidika shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?
Boss kwamba milioni ndogo?Duh 1000000 biashara ama stress
[emoji1787] [emoji1787] Ukizipata nigawie hata 50,000 nipike biriani rafiki.Kesho mapema napanda Basi kuelekea Arusha.
Kama unazo hela nyingi unaweza kuongezea pia mkuu.Duh 1000000 biashara ama stress
Hongera Sana friendNdugu aibu ni adui wa maendeleo niliweka u sister du pemben nikasahau urembo nikasahau ubishororo wa chuo nikaamua kupambana katika ugumu
House girls nawasajili wapo chini ya kampun na nawapa mafunzo ya kazi
Nikikupa tunaingia mkataba kabisa na pia usalama wa familia upo chin ya kampuni
Pia house girls nimewapa thaman yan imekua kazi kama kazi zingine nawapa mikataba na bima za afya
Mkuu naomba uniunge hilo group tafadhali.Mwaka Jana nilichukua kitanda, TV, mtungi mdogo wa gasi, godoro na vyomba vyakupikia kwa jamaa kamaliza chuo anasepa zake kwa laki moja na nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitumie namba yako pm nikuunge chap
Mi nikadhani umeuliza unataka ufanye😉Sawa sawa mkuu...kila la heri
😆😆Yaani wewe! kwangu haijaclick...oh no!Mi nikadhani umeuliza unataka ufanye😉
Hongera sana dearMm ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu
Kabla ya biashara ya sasa nimewah fanya biashara kadhaa huku nasoma toka o level kifupi nimejisomesha mimi mwwnyewe kwani sina wazazi mpka sasa nakaribia kumaliza chuo
Kufupisha story biashara ya nyuma kabla ya hii ni kuwa nilikua nauza makande yes makande haya haya ya mahindi na maharage
Kifupi najua sana kuyapika yan sana na nikipika nilikua nasifiwa sanaa so nikaona ni fursa kwani watu weng hasa dar wamezoea kula ugali au wali tu kwa mama lishe
Nikiwa mwaka wa pili chuo nilianza na mtaji wa elfu tano tu yan nilinunua mahindi nusu na robo maharage nusu sukar robo nazi moja karoti na hoho na mkaa wa buku
Nikawa naroweka mahindi na maharage usiku mzima ili yawah kuiva halafu nayaunga vizur sana kisha nilikua na makontena yan yale mabakuli ya mfuniko matatu nikaazima mengine matano nikawa napaki mule halafu sa sita mchana naenda kuuza kwenye vujiwe vya bodaboda kwa bei ya 1500 faida unapata 7000 baada ya kutoa mtaji wako na nikaendelea kukuza mpaka kuuza kontena 30 kwa siku na faida unapata 30 hiyohiyo baada ya kutoa mtaji
Kuhusu namna nilivokua nagawa muda wa masomo na biashara ni jambo lingine ambalo nitaeleza wakat mwingine ila haikua rahisi
Kwa sasa nimefungua kampuni nasambaza house maids yan house girls
Poleh mwayaKifupi mtaji usiwe kikwazo cha kukukwamisha kijana nimepitia maisha magumu snaaaaa yan yanatoa machozi kuna muda nilitaman kujiua ila sikukata tamaaa nimepamban yn nikisimulia kuna baadh hamuwez kuamini ila nashukury Mungu nina moyo wa kijasiri sanaa yan kama jambazi sugu mpkaa hapa si hapa naanza kuona mwanga mtaji bado ni changamoto kwangu japo naamini kama nimefika hapa basi nitaendelea kusonga
We uliskia wapi?Uzi ufungwe sasa Na pesa yote apewe Mwajuma...imeisha hiyo.
Group linaitwa IRINGA maskani humor fb Kama unahitaji kitu unapost tu wadau wanatiririka mkuuMkuu naomba uniunge hilo group tafadhali.