Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

"jirani unataka kuharibu watoto bhana nimepita hapo nyuma nikakuta watoto mmoja anamwambia mwenzie lia kama nanii(unataja jina la mke wake) na mme wake wanavyoliaga usiku wakiwa wanafanya matusi" alaf unamwambia "inabidi mjitaidi kupunguza sauti zenu mkiwa kwenye mechi msije mkahaibika siku moja"

Had hapa utakuwa umemaliza kaz
 
Tafuta mtu uongee naye, umseti kabisa ikifika mida yao huyo mtu akakae dirishani ajifanye amelewa ajiongeleshe na simu uongo kama anaita wenzie waje kupiga chabo ya bure, tena ajifanye anasisitiza kuwa yeye anachunguliaga mara kwa mara kila ikifika mida hiyo na awasifie wana kelele hatari
 
Jiran yetu hapa hakuna kelele ila nati za kitanda chake hazijafungw vizur maan kuna wakati nasikia kwich kwich kwich kwich
 
Nunua redio usiku washa
 
Ahahaha nimefuahi ulivyoandika kwa hekima,na ndo maana umewavumilia mpaka sasa.
Nakumbuka miaka ya nyuma nililala kigesti choka mbaya jamaa kaingiza likahaba acha makelele yake nikawa naupiga ukuta panakuwa shwari,akianza tu nalima ngumi ukuta mpaka ikawa shwari kuu.
 
Huna haja we vaa earbuds za vipira zile kisha lala
 
😂😂😂😂😂😂 We injinia soma hiyooooo…. Kuguguma guguma…. Eh! We injinia soma hiyo…… kuguguma guguma…..eh! Hiyo hiyo kwa kiswahili mnaita utamu wa K au utamu wa mb@@
🤣🤣🤣🤣🤣



 
Nilipokuwa nimepanga zamani kuna wapenzi walokole walikuwa wanaishi sasa wakaoana ,jamani jamani dada yule ilikuwa akiguswa ukucha tu anatoa mlio huo kama amezibwa koo la hewa, sasa kasheshe mchezo ukianza mwe mwe mwe ana kisauti fulani hivi [emoji1] utasikia bebi bebi, vikichanganya mume wangu mume wangu....nikakausha baada ya muda yakaisha nkasema mbwembwe tu za ndoa mpya...
 
We mtanie , asbh mwanze baada ya salam
Dah yaani Shem unanipaga Raha wewe siyo mvivu walai daaah

Jamaa yangu huwa anafaidi Sana

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
We mtanie , asbh mwanze baada ya salam
Dah yaani Shem unanipaga Raha wewe siyo mvivu walai daaah

Jamaa yangu huwa anafaidi Sana

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Mkuu we huwajui wadada wa siku izi. Jamaa akianza kumtania tania ivyo utashangaa anamla 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…