Tyanyi Member Joined Jun 12, 2020 Posts 33 Reaction score 28 May 5, 2024 Thread starter #21 blogger said: Vigezo vigumu sana siku hizi... Sisi tulikulA 100%.. miaka hiyo tukiwa watumishi wa serikali.. Click to expand... Kwa sasa ni kubet mkuu
blogger said: Vigezo vigumu sana siku hizi... Sisi tulikulA 100%.. miaka hiyo tukiwa watumishi wa serikali.. Click to expand... Kwa sasa ni kubet mkuu
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 May 5, 2024 #22 Hupati... Maana utaomba kwa cheti cha form four na utajikuta umemaliza f4 kitambo sana... Kigezo hicho kitakutema.. Tyanyi said: Kwa sasa ni kubet mkuu Click to expand...
Hupati... Maana utaomba kwa cheti cha form four na utajikuta umemaliza f4 kitambo sana... Kigezo hicho kitakutema.. Tyanyi said: Kwa sasa ni kubet mkuu Click to expand...
Tyanyi Member Joined Jun 12, 2020 Posts 33 Reaction score 28 May 5, 2024 Thread starter #23 Mkereketwa wa NAZI said: Ada milion 5 chuo gani iko Click to expand... Private MD uliza tuition fee
Tyanyi Member Joined Jun 12, 2020 Posts 33 Reaction score 28 May 5, 2024 Thread starter #24 blogger said: Hupati... Maana utaomba kwa cheti cha form four na utajikuta umemaliza f4 kitambo sana... Kigezo hicho kitakutema.. Click to expand... Hakika
blogger said: Hupati... Maana utaomba kwa cheti cha form four na utajikuta umemaliza f4 kitambo sana... Kigezo hicho kitakutema.. Click to expand... Hakika
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,187 Reaction score 6,620 May 5, 2024 #25 Unaanza rasmi kuutafuta umaskini
Tyanyi Member Joined Jun 12, 2020 Posts 33 Reaction score 28 May 5, 2024 Thread starter #26 vibesen xxx said: Unaanza rasmi kuutafuta umaskini Click to expand... Yote kheri njia yako sio yangu kikubwa uzima maana cc sote mwisho wetu ni mmoja tu.
vibesen xxx said: Unaanza rasmi kuutafuta umaskini Click to expand... Yote kheri njia yako sio yangu kikubwa uzima maana cc sote mwisho wetu ni mmoja tu.
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 1,048 Reaction score 2,449 May 5, 2024 #27 vibesen xxx said: Unaanza rasmi kuutafuta umaskini Click to expand... Ww hujapitia iyo njia una utajiri gani mpk ss zaidi ya kuzunguka JF tu humu atleast ungekuwa na makampuni hata matano ndo uongee izo shudu ss huna hata kampun moja
vibesen xxx said: Unaanza rasmi kuutafuta umaskini Click to expand... Ww hujapitia iyo njia una utajiri gani mpk ss zaidi ya kuzunguka JF tu humu atleast ungekuwa na makampuni hata matano ndo uongee izo shudu ss huna hata kampun moja
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 May 5, 2024 #28 Omba na utapata 100% wanapigaga mikwala Hila Awana system ya kukutambua na muda wa kukufatilia
yellow java JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 1,228 Reaction score 2,234 May 6, 2024 #29 Tyanyi said: Hiyo si inakatwa automatically Chief Click to expand... Naelewa mkuu , utasikia mtu analalamika 'ooh bodi wanakata sana mara ooh bodi wameongeza deni n.k..' Pata mkopo na ulipe , ili na sisi wengine tupate.
Tyanyi said: Hiyo si inakatwa automatically Chief Click to expand... Naelewa mkuu , utasikia mtu analalamika 'ooh bodi wanakata sana mara ooh bodi wameongeza deni n.k..' Pata mkopo na ulipe , ili na sisi wengine tupate.