Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

Omba na utapata 100% wanapigaga mikwala Hila Awana system ya kukutambua na muda wa kukufatilia
 
Hiyo si inakatwa automatically Chief
Naelewa mkuu , utasikia mtu analalamika 'ooh bodi wanakata sana mara ooh bodi wameongeza deni n.k..'

Pata mkopo na ulipe , ili na sisi wengine tupate.
 
Back
Top Bottom