Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Nashukur mkuu,hapa nilikuwa nawaza nirudi hospt pengine ntaongezewa dozi na vile znanipelekesha njaa muda wote,ndoto za ajabu ajabu kuota napaa hadi nimeshalizoea anga,uchovu kam nina homa ni balaa tupu..Umejichanganya katikati ya dozi? Pole sana ila uache umalaya.
Huwezi kupata ila hakikisha umemaliza pep
Huwezi kupata hadi zitakopita wiki mbili baada ya kumaliza dozi coz dawa ya pep inakaa muda mrefu kwenye damuHabari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.
Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Hapana Huwezi kupata Mkuu..Habari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.
Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Na ukimaliza dozi hata ukienda hospital eti umepata contact tena hakupi coz hizo dawa zina side effect hawazitoi kama njugu sokoniNashukur mkuu,hapa nilikuwa nawaza nirudi hospt pengine ntaongezewa dozi na vile znanipelekesha njaa muda wote,ndoto za ajabu ajabu kuota napaa hadi nimeshalizoea anga,uchovu kam nina homa ni balaa tupu..
HARAKATI ZA MTU MWEUSI.Habari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.
Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Kweli kabisa..Na ukimaliza dozi hata ukienda hospital eti umepata contact tena hakupi coz hizo dawa zina side effect hawazitoi kama njugu sokoni
Note: Ukimaliza dozi hata ukapata contact tena na mtu mwenye ukimwi within a month hairuhusiwi kupewa dawa tena hadi ipite miezi mitatu
Unaambiwa hizo dawa zinamadhara kuliko hata huo ukimwi wenyewe endapo utakumbana na madhara yake
Kweli kabisa..
Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..
Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)
Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
Umejichanganya katikati ya dozi? Pole sana ila uache umalaya.
Huwezi kupata ila hakikisha umemaliza pep
TLE AFU UNYWE MCHANA UTAONA VITU UPSIDE DOWN, ANTCLOCKWISE AND VICE VERSA.Kweli kabisa..
Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..
Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)
Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
vijana wa hovyoYaani yuko kwenye pep halafu anaenda kuchovya kwenye umeme[emoji23][emoji23]
Vijana hawajipendi kabisa
Mkuu kati bei ya vanguard show room ni sh ngapi?vijana wa hovyo
40-45MMkuu kati bei ya vanguard show room ni sh ngapi?
Mtaalamu wa magari
Good morning ladies and gentlemen this is your saviour speakin.Mkuu kati bei ya vanguard show room ni sh ngapi?
Mtaalamu wa magari
Hujamshauri aache papuchiHapana Huwezi kupata Mkuu..
Hapo Umeibadilisha PEP kuwa PrEP tu..
So imekulinda Kwa Exposure mbili Pre na post..
So Ngoma Draw..
Huwezi kupata kuwa na Amani kabisa
Habari za muda huu