DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hapo nitakuwa namshauri kitu ambacho hawezi kukitimiza 😅😅😅Hujamshauri aache papuchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nitakuwa namshauri kitu ambacho hawezi kukitimiza 😅😅😅Hujamshauri aache papuchi
Watu wengine ubishi wa kijinga! Wewe unauguza bado unakitembezaHabari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.
Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Mzee acha! Nilikuwa nameza jioni Unaweza ukahisi Unaona Shetani au malaika, Hallucination za Kutosha..TLE AFU UNYWE MCHANA UTAONA VITU UPSIDE DOWN, ANTCLOCKWISE AND VICE VERSA.
Cc DR Mambo Jambo ujifunze hapo
Mara unaota umekufaMzee acha! Nilikuwa nameza jioni Unaweza ukahisi Unaona Shetani au malaika, Hallucination za Kutosha..
Niliwaonea huruma Sana wale wanaokunywa kila siku
Kabisavijana wa hovyo
🤣🤣🤣😜Hapo nitakuwa namshauri kitu ambacho hawezi kukitimiza 😅😅😅
Tusidanganyike! ukikutana kimwili na mwenye HIV utapata HIV fullstop.hiyo ni rule of thumb.Hayo mengjne ni probability ambayo inaweza true on your side or not.So tuepuke kujiweka katika risk ya kusikiliza ushauri kutoka kwa Madaktari pori.Tuzungumzie kuepuka kujamiana kusiko rasmi ikiwa na kupima maambukizi ya HIV kabla ya kuoana na baada ya kuingia kwemye ndoa tuwe waaminifu katika ndoa zetu.Habari za muda huu
Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.
Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.
Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Sina cha kujifunza kwenye Google mkuu..Cc DR Mambo Jambo ujifunze hapo
Siamini kuna cha kukuuliza bali jifunze zaidiSina cha kujifunza kwenye Google mkuu..
Nimesoma hicho kitu kwa muda mrefu na nimefanya study nyingi kuhusu hiyo kitu..
Na kuhusu drugs Resistance na Drugs failure ni Mada kubwa sana haiwezi kutokea kwa mara moja au kwa wiki moja..
Kaa utulie mkuu kama una swali unaweza kuuliza
yapi hayo mkuu..nawaza kukatisha dozi coz mtu mwenyewe nlichapa goli moja..nliingza mara 2 nkatoa,nkavaa kondom nkapga kdg,hisia zikakata hadi mashine ikawa inaelekea kulala nkavua dk mbili tatu nkakitupa..Na ukimaliza dozi hata ukienda hospital eti umepata contact tena hakupi coz hizo dawa zina side effect hawazitoi kama njugu sokoni
Note: Ukimaliza dozi hata ukapata contact tena na mtu mwenye ukimwi within a month hairuhusiwi kupewa dawa tena hadi ipite miezi mitatu
Unaambiwa hizo dawa zinamadhara kuliko hata huo ukimwi wenyewe endapo utakumbana na madhara yake
😅😅😅🤣🤣🤣Siamini kuna cha kukuuliza bali jifunze zaidi
sawa saw kaka,sema skua nmepanga kumla coz kabla skumdokeza,nlmwomba aje gheto nlijarbu kumuapproach akankatalia mbaya hata kuguswa hataka..nkakausha.Sina utalamu wa maswala ya kiafya kuweza kufahamu hilo ila ningependa tu kukushauri upunguze kaka. Yani licha ya kua kwenye dozi ya PEP ila moto bado ule ule
Bado upo dogo! Una ego ambayo haiwezi ikakufanya mtabibu bora. Tulia uelimike.😅😅😅🤣🤣🤣
Haya mkuu Asante sana!
Naendelea Kujifunza Mkuu kupitia kwako na wengine!
Ila nikushauri Kasome kuhusu HIV, na soma pia kuhusu ART, Soma kuhusu Hiv Drugs Resistant ambazo zinapelekea kwenye Failure n.k.
Kiukweli Kijana una vingi vya kujifunza sana..
Nasisitiza hilo!
Ila nahisi mimi Nina vingi zaidi 😀😀
karibu Sana!
SIjazungumza kuhusu Umri mahali popote!Bado upo dogo! Una ego ambayo haiwezi ikakufanya mtabibu bora. Tulia uelimike.
Kuthibitisha ego yako ni kama hii comment yako
Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!
Anawezaje kufa yule mwamba! Kile killikuwa kichwa haswaa! Wajinga wajinga walinyooka. Yule dingi noma sana. Akisema sitaki ujinga anamaanisha kweli na zile kauli zake na sauti yake kama umevurunda, lazima unazimia ukisia sauti yake. Mola amupe pumziko la milele JiweHakika daima tutaendelea...www.jamiiforums.com
Wakati huu una miaka 6, mimi nilikuwa form six. Na hujui kuwa hujui
Msomi ni yule anayejifunza kila wakati. Jitahidi kuwa msomi kila wakat. Achana na ego ya kishambaSIjazungumza kuhusu Umri mahali popote!
kuna watu ambao ni surbonate wangu na wana umri mkubwa kuliko mimi na kuna watu ambao ni Wakubwa wangu kazini na wana Umri Mdogo kuliko mimi..
So Accademic and Proffesionalism haichagizwi na umri mkuu!..
Kingine nikufundishe kitu ukiniona kwenye Bandiko tofauti huwa nachukua Sura na maoni tofauti inategemea na Discusion ya Bandiko..
Na sio lazima tufanane hoja,Unaweza ukaweka hoja yako Bila Hata kufanya dhihaka kwa mwingine..
Sikatai na wala sijapinga wewe kuwa na umri wa miaka 70+ au zaidi..
Maana watu wengi waliokuwa secondary au Form six Mwaka 1978, Kwa sasa Ni wastaafu na Ni wazee sana..
Na kama upo bhasi nafurahi sana kuiona Hazina ya wakati huo Ikimea na kujaa busara nyingi..
Ila kwa mimi..niko Happy na umri wangu Ndo umri ambao unanitambulisha Nilipokuja Duniani.
Na kama nilivyosema Mkuu..
Nahisi Mimi Nina Vingi sana vya kujifunza kutoka kwako na kutoka kwa wengine Na nina safari ndefu sana mkuu.
Soma Paragraph ya Mwishoni kabisa ya kila Comment yangu kwako..Msomi ni yule anayejifunza kila wakati. Jitahidi kuwa msomi kila wakat. Achana na ego ya kishamba
Sasa unajijua unatumia pep na unaujasiri wa kutafuta magonjwa mengine dah kuna watu mmevurugwa kwa maana apo riski sio hiv tu bali kuna homa ya ini,gono,syphilis,hpv etcNashukur mkuu,hapa nilikuwa nawaza nirudi hospt pengine ntaongezewa dozi na vile znanipelekesha njaa muda wote,ndoto za ajabu ajabu kuota napaa hadi nimeshalizoea anga,uchovu kam nina homa ni balaa tupu..