LA75 mara Nyingi Ni label name ya Lamivudine (3TC)
Ni vigumu Kukuta Lamivudine Ikisimama Peke yake..
Hiyo Ni vigumu sanaaaa na Sidhani kama imewahi kutokea..
But Mara nyingi Lamivudine (Kwa sasa Hivi) inachanganywa kwenye Dawa kama TLE na TLD..
Kwa sasa TLE ilitolewa Sokoni nadhani tangu mwaka 2019..
Ninavyoona..
Dawa unayoizungumzia Ni TLD maana Hiyo ndo imekuwa Embossed with LA75..
Na kukujibu Ni Ndiyo Inaweza kutumika kama PEP..na mara Nyingi ndio Hutumika kwetu Tanzania Unless Kuwe na Contraindication..
View attachment 2973358
View attachment 2973359